Mkuu sidhani kama uko sahihi kuhusu hilo,jamaa walikuwa wanachambua tu kawaida,labda ushabiki umekuzidia,ikumbukwe pia kwa simba kusonga mbele wao wanafaidika kwa kampuni yao kusimamia michezo ya simba hapa dare salaam,hivyo hawawezi fanya hivyo period!
Ada ya mja hunena kwa muungwana ni vitenda. Ndiyo hata JK aliwaambia katika utoaji wa tuzo mapenzi ya timu zao wasiyaonyeshe ktk redio au gazeti ambayo hayafumbamani na chama. Sasa neno kama SIMBA ni kama chupa ya chai ipoingia ndipo itakapotokea. SIMBA imewakilisha Taifa na si klabu nadhani ni wachambuzi wanakula ugoro kabla ya kipindi.
Kama kitu hujui uliza ndio maana skonga ulitoka Kapa!! Mbwiga ni rafiki kwa lugha Kizaramo.Chambua kitu B4 kuropoka!!!!!!!!
Clouds Radio ni janga kwa vijana wa kitanzania
Tatizo so clauds ni hawa wanaoijiita wachambuz wa michezo hawatumii akili kaz yao ni kufagilia soka la wazungu na kutukana ndugu zao sio siri jamaa walionyesha ushabiki kazini mpaka wanaanza kutukana na mavaz[suti] walizokwenda wamevaa kuwa watarud wamevaa vpensi,halafu huyo jamaa sijui mbwiga mlileta wa nn sion anachotuongezea kwenye michezo hayo maneno anayosema ni ya kitoto watu wazima hatuyahitaji,watangazaji wa nchi zingine timu zao zikifungwa huwa wanasikitika lkn yakwetu sijui ni ushamba na ulimbuken shenz gete!hivi ukiipenda Simba, wakati huo huo Yanga, Azam, Polisi sasa utaenda uwanjani kufanya nini ? Kumbuka jamaa walimtuma mtangazaji Jeff ili kufanya coverage ya hiyo mechi !