Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

GITWA

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,497
1,702
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.

Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro.

Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
 
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.

Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro.

Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
Debe unauzaje broo! Nipe bei tufanye biashara au nicheki 0712555352
 
Back
Top Bottom