Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,176
36,296
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.

Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.

Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.

Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
 
Sijaelewa! Ndugai katoka familia fukara ila kichwani zimo. Ina maana huyo mwingine katoka familia tajiri ila kichwani ni mweupe?
Angekuwa mweupe asingefaulu darasa la saba,miaka hiyo kufaulu la saba ni kazi kwelikweli,shule nzIma walifaulu wawilu tu Freeman na mwenzake mmoja pia kumbuka kibaha Sec ni special school .ni wale waliopata ufaulu wa juu
 
Kwenye umbeya tu…. Tumo sana

Ikija maendeleo ndio tunaachia serikali pekee ili tupate umbeya zaidi
 
So Nyerere alikuwa masikini?
Protea hotel unazijua,Aishi je?
Nyerere alikuwa anaishi Maisha ya kawaida sana

Makongoro Nyerere aliishi Nyumba ya NHC kama hiyo ya Chadema pale Komakoma Mwananyamala Jirani na alipokuwa anakaa Masoud Kipanya

Mdogo wake mzee Joseph Nyerere aliishi Nyumba ya NHC Jirani na Hospital ya Mwananyamala

Sasa ni Matajiri hao?

Mzee Mbowe hakuwa Tajiri usidanganye Watu!
 
Ww ni mtu wa ajabu sana,Rudi kwenye mada,Nyerere alikuwa na uwezo wa kupeleka watoto wake wakasomee ulaya au America achana na Shaaban Robert School.
Alikuwa na uwezo watoto wake waishi Masaki na hakuna mtu angemfanya kitu,
Utajiri ni nini?
Ni kuwa na uwezo wa kumiliki au kumiliki mali,
Mo Dewji akivaa kaptula na kandamboli leo utamuita masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…