ikh libe
Senior Member
- Apr 17, 2019
- 176
- 216
Wewe huwezi kusema kuwa vitu vimepanda bei mpaka Chadema wakusemee huna mdomo?Hivi nyie CHADEMA Kila siku ni huu huu tu utumbo? Mliachwa mtaandamana kwanini hamkuitumia hiyo fursa?
Kila kitu kimepanda bei lakini hamsemi kitu, mmekalia Umbea na majungu tu!! Ndo maana Watanzania wamewapuuzilia mbali.
Mwenzenu Mwenezi Makonda anachanja tu mbuga nyie mmekalisha Makalio tu mnasubiri Ruzuku!! Badilikeni nyie Wahuni; awali mlikuwa ndo taa ya mambo mengi muhimu. Mmelamba asali Sasa hivi Kuna mambo mnayaonean aibu kuyasema.
Shwain