libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,474
- 3,631
Mhhhhh kwa nn hawatoi majina hayo jamani?
Yakitoka na ukakuta umekatwa utajisikiaje?
Mhhhhh kwa nn hawatoi majina hayo jamani?
Hahahaha ngoja nikucheke na wewe kwanzaHahahahahaaaaaaa jaman presha kweli yaani mpaka najicheka mwenyewe hahahahaa
Mkuu jua kuna watu wa personalities tofauti humu, na tunapokea mambo na kufanya vitu kulingana na aina ya sisi ni akina nani, binadamu kamwe hatuko sana, ndio maana kuna waoga na majasiri, wepesi na wazito katika mambo, maamuzi nk.Wat wengne wanavunga tu na nadhan ukisema huna presha bas we ukapimwe
una uhakika?Hahaaa kwanza ndo napata taarfa mda huu majina ya uhamisho yatatolewa mtandaoni ila tarehe 15 march
nishaku pm,kama hauta iona,basi ni pm ww jibu la uhakikaNipm nkuambie uhakika nlioupata