Pole nenda lakin fanya kazi kama kawaida hata ukikaa nyumban haina maanamkuu kantumia text nende shule kuna kikao j1 kuna meng ya kujadil kuhusu muhula mpya..afu mm npo kusubir majina ya uhamisho npo njia panda hapa..tuombeana tupate uhamisho
vp ndugu unaweza kunipm namba za hao watu maan utapeli.maana utapeli umezidikuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI
unamanisha kuwa kama niko bukoba,halafu nikawa nataka kuamia meatu,basi jina langu watalibandika meatu badala ya kuyatoa mtandaoni?Na kama utaratibu umebadilika inawezekana hata wasitoe majina km tunavyozani wakabandika majina ktk halmashauri usika tu... waliohama july hawakupata hii presure mana wao b4 JULY wakawa wametupia.
sasa,hapo matumaini unayapotezaje?Yaan unavozd kuongea Mimi napoteza matumaini hapa
hivi unajua ni lini TAMISEMI waliyatoa majina mwaka jana 2015?TAMISEMI walitoa majina tarehe 21\01\2015!sasa haraka ya nn?mie sitaki presha!deadline yangu nimeiweka tarehe 22-01-2016...kuwa na subraUnajua kwa hali hii majina hayatatoka mapema cha mhimu kupiga kazi tu
wote tuna presha,ila tujipe moyoWe kiboko
Kwa wale walioomba uhamisho wa January 2016 kupitia tamisemi,ni lini majina hayo yatatolewa?kwa maana January ndo hii,samahan kwa anayejua naomba atujuze🙂
Jumatano ya wiki iliyopita nilienda TAMISEMI na nikakutana na jamaa angu juu ya uhamisho huo. Akanijibu kuwa ndo wapo hatua za mwisho na watatoa kuanzia trh 15 januari hii. Mwenyewe nilishauza vitu mpaka hela nayo nishaitumbua kidogo.Tusubiri wanaofahamu watakuja sio muda