umehamia kinondoni hongeraAu naomba mnitumie file
Hongera aiseeAmeeeeeni,kiukweli siamini duuu,namshukur mungu sana jina nimelionaaaaaaa
Mungu Ni mwema, lihimidiwe jina lakeumehamia kinondoni hongera
Hamna wawahi kabsa tujue hatma kwanza coz kureport ni sku 14 baada ya kupata barua na mpaka barua zifike huku mshahara ushatoka sku hzi magu sianaingiza trh 22 tuu
MAJINA YA UHAMISHO WA MWEZI DESEMBA YAPO TAYARI. INGIENI WEBSITE TAMISEMIHahaaaaaa,hili nalo neno
Aisee ttashukuru sana,
Mie kitu moroooo manispaaSawa tuna shukuru kwa taarifa.
MAtapeli haookuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI