Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,843
Walicholalamika ni umePost kitu ambacho hakiusiani na Maada...yaan Wrong Comment at a topic.....Hivi vitendo vya matusi waachieni WAHUNI sio nyie watu wenye heshima kubwa Duniani, mkiendelea hivi mtajipunguzia heshima na hata serikali kuwaona ni watu wasio stahili heshima na hata kutowajali katika mazingira yenu ya kazi na kuanza kulalamika mmetelekezwa na serikali kumbe heshima yenu mme ishusha wenyewe,
Lazima tukushangae,kulikoni!!