dhahabuinang'aa
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 134
- 28
Mbona mwaka huu kama vile hapaeleweki.
Namsubiri Wife ahame ila hata Dalili sizioni.
hawa Tamisemi Vipi?
Namsubiri Wife ahame ila hata Dalili sizioni.
hawa Tamisemi Vipi?
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..
Mweh! Hadi 20? Wakati hapa nazunguka tu sitaki kwenda kazini kisa tamisemi sijui nirudi tu buzaKuna tetesi kwamba kufikia jan 20 majina yatatupiwa kwenye net subiri mkuu!
km upo halmashauri unayotoka fuatilia barua yako kwa afisa utawala.Barua zilishatumwa
Mzigo umewekwa tayari leo saa 1630....angalia kwenye web ya tamisemi....Kuna tetesi kwamba kufikia jan 20 majina yatatupiwa kwenye net subiri mkuu!
habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..
wameshatoa ndugu yangu. Ingia tamisemi utaona.
Mzigo umeingia tangu saa 1630 leo
Check waliofanikiwa hapa
http://www.pmoralg.go.tz/fnews/uham...ANDAO-UHAMISHO-DEC-2013-Waliokidhi_Vigezo.pdf
ndug hayo cyo ya januar bal ya mwez june ulioyaona angalia vzr
Angalia vizuri ndugu,
hiyo link ni ya December 2013...ni ya leo kabisa labda kuna technical
problem kwako
Mzigo umeingia tangu saa 1630 leo
Check waliofanikiwa hapa
http://www.pmoralg.go.tz/fnews/uham...ANDAO-UHAMISHO-DEC-2013-Waliokidhi_Vigezo.pdf
Ok..Jina lako Noah Kibona ni namba 1782 umefanikiwa kutoka Rungwe Mbeya kwenda Kilosa Morogoronisaidie kuchek jina NOAH KIBONA
Ok..Jina lako Noah
Kibona ni namba 1782 umefanikiwa kutoka Rungwe Mbeya kwenda Kilosa
Morogoro
pendale. asante nakuomba tena nichekie MAJUTO NYANGA