Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

Sasa watu 3, 000 wote hao nani analipia kuhamisha mamizigo? hii serikali ya kihuni kabisa ndo maana kila siku inalalamika haina ela, bure kabisa/
Kazi kweli...Msipohamishwa mnalalamika, mkihamishwa mnalalamika pia.Nchi ya malalamiko. Sasa watu wana sababu za msingi kwanini wasihame? Halafu nani kakwambia kila anayehamishwa analipwa mizigo?
 
kazi kweli, tatizo lilopo ni mazingira ya sehemu wanayofundishia au shule ilipo, hakuna hosp, benk km 156 toka anapoishi, nyumba ndo ucseme ndo maana wa2 hawataki kusomea ualimu.
 
asante kaka kwa jitihada zako,hivi kwa nini hawajaweka katika tovuti yao hao TAMISEMI?

ILA MZUNGUKO NI MREFU SANA,INGAWAJE UNAUFANISI KATIKA KAZI,ILA MAAFISA ELIMU NI KIKWAZO TENA SANA HASA KULE TUNAKOHAMA.

Kweli kabisa. Nakuunga mkono mia kwa mia. Kuna maafisa elimu wengine huchukua miezi kumsainia mtu barua yake. Kuweka saini ni dakika moja tu lkn itachukua miezi kadhaa. URASIMU ni mwingi sana. Kwa mtindo huu wa kukatishana tamaa BIG RESULTS NOW haitafanikiwa hapa nchini.
 
Majina ya wanaohama mwezi july 2014 ni vp yanatolewa lini mwenye taarifa anijulishe wandugu
 
guys nahitaji uhamisho wa haraka Mimi ni mwalimu toka tabora wilaya ya Uyui nahitaji niende dodoma kwa family yangu 0767290887
 
Back
Top Bottom