Uhamisho na selection.

Uhamisho na selection.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Nina dogo alichaguliwa chuo na Tamisemi, kozi aliyokuwa amechaguliwa hakuipenda, ikabidi afanye application upya kupitia Nacte.

Baadae nacte kupitia OR-TAMISEMI wakatoa dirisha la uhamisho kwa kuthibitisha na kuomba kozi na chuo kingine, dogo akaomba na kukubaliwa, akaenda chuo husika akaanza masomo baada ya kuwaonesha ile meseji na kuingia kwenye mtandao wakajiridhisha akapokelewa, sasa leo selection zimetoka amechaguliwa kozi ambayo aliomba kabla ya uhamisho ule wa Tamisemi tena chuo tofauti.

Inakuwaje hapa.
 
Anasoma wapi? Na Nacte wamempeleka chuo gani?

Back
Top Bottom