Uhamiaji watupe ufafanuzi

Uhamiaji watupe ufafanuzi

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?

Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.

Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.

Shukran
 
Na Wewe uko Ulaya Mkuu?
 
Wakosawa kabisa kama ulitumia shortcut kupata uraia wetu Tanzania sasa n haki bin haki mkuu..nida inadhihirisha were n mtanzania halisi sioni shida

Kingine kama unahitaji nenda ofisizao bado wanatoa kabisa NA hata ukipoteza nenda police watakuonyesha....cha kufanya unapewa kipya tens ndan yawikimbili
 
Watu wengi tu tupo hapa Tanzania hatuna vitambulisho vya taifa, utaratibu wa kupata vitambulisho vya taifa ni mbovu
Ndio mjue wakati mnapita na mashangingi tumepanga foleni kuchukua ID starehe yake ndio hii leo naenda uhamiaji kamaraia napewa PPT tena wamepewana mda wa kutoa PPT..
 
kuna point hii ya renewal, kwa kweli ni muhimu sana. Yaani passport unayo lakini ukenda kurenew ni kama vile unaanza upya kuomba passport wakati documents zote wanazo wao.

Sifahamu hasa kwanini tunapenda kusumbuana.
 
Ulipata ppt kwa manual docs mkuu huuwakati wakielectronikianmns details zako lazima ziwe kielectronikia zaidi ...wape ushirikianoo kama unaipenda ppt yako..
 
Nilirenew passport before hii ya kisasa kuja. Nilijazishwa fomu kama vile sijawahi kuwa na passport. I am sure, information zangu za zamani walikuwa nazo kwenye system. Hapa ndio nnaposhindwa kuelewa kwanini mtu uanze kujaza upya.

Mimi yangu ina expire 2027 (nimerenew mwaka jana), kiuhalisia nikitaka kwenda kurenew, nawakabidhi yangu wananipatia nyingine, sio tena nianze kujaza mafomu wakati kila kitu kipo kwenye system.
 
Umeona mkuu

Huo ndio usumbufu wa ku renew passport, form ni zile zile za kuomba passport upya, mashahidi na wadhamini ni wale wale, passport yangu mpya tu miaka 2 tu..
 
Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?

Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.

Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.

Shukran
Sababu kubwa iliyopelekea kitambulisho cha Utaifa iwe kigezo pale unapoomba passport (hati ya kusafilia) ni hivi, Taarifa zako zote kwa maana ulipozaliwa, ulikosomea, walio kuwa watu wako wa karibu katika makuzi yako na mengine mengi tu yako kweny fomu yako uliyo jaza wakati unaomba kitambulisho hicho cha NIDA,na kumbuka kuwa unapo jaza fomu ya kuomba passport maelezo yaliyoko kwenye hiyo fomu yanatofauti ndogo sana na fomu unayojaza wakati wa kuomba kitambulisho cha Taifa.
 
Sasa kwa diaspora wanao ishi nje ya nchi kuna utaratibu gani wa kupatiwa nida kwa haraka mno 3? Maana tunavyo sikia nida inapatikana baada ya mwezi baada ya maombi.
 
kuna point hii ya renewal, kwa kweli ni muhimu sana. Yaani passport unayo lakini ukenda kurenew ni kama vile unaanza upya kuomba passport wakati documents zote wanazo wao.

Sifahamu hasa kwanini tunapenda kusumbuana.

Yani vitu computerised tunaanza upya na watanzania wasio na uraia wa nchi nyengine
 
Sasa kwa diaspora wanao ishi nje ya nchi kuna utaratibu gani wa kupatiwa nida kwa haraka mno 3? Maana tunavyo sikia nida inapatikana baada ya mwezi baada ya maombi.
Ili huduma unayoiomba ikamilike lazma ofisi za idala hizo kwa maana ya NiDa wajilidhishe kama kweli taarifa zako ulizoziandika ni sahihi, huwez kukupa kitambulisho cha Taifa bila kujiridhisha, pengine inawezekana ukawa sio Mtanzania, na kumbuka Utaifa ndo sifa namba moja.
 
Yani vitu computerised tunaanza upya na watanzania wasio na uraia wa nchi nyengine
Nilivokuelewa point yako ni kuepusha mtu kuwa na uraia wa nchi mbili. Sawa lakini kama UK wanakubali dual citizenship, si watampa tu passport huyo mtu ata kama anayo ya Tz.

Nafikiria kitu lakini sijui kama ni possible 😀
 
Back
Top Bottom