Uhamiaji wamezuia passport yangu!

Uhamiaji wamezuia passport yangu!

Ed771

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
37
Reaction score
15
Natumai wote muwazima, na pia familia zenu, na marafiki wanaendelea vyema.

Mimi nina swali linanitatiza juu ya uhamiaji, nimeomba passport baada ya kupotea mbaya zaidi wameizuia kwa muda wa miezi 6 yaani mpaka mwezi wa 5 mwakani, ila nasikia mara nyingi inaashiria inahitajika rushwa ili kuipata kwa haraka na mapema tofauti na muda tajwa.

Tafadhalini nisahihisheni kama nimekosea.

Ahsanteni,
 
Kijana naomba uwe makini na taarifa unayotoa kuhusu UHAMIAJI.

Uhamiaji sio idara ya kufanya mambo kwa kukurupuka. wanafanya kazi kwa uweledi wa hali ya juu.

Kwanza umesema umepoteza? hapo kuna changamoto na lazima uchunguzi ufanyike wa kina tofauti na hapo wao wanaweza kuwa hatiani.

Je utajuaje pasi yako inatumiwa na mtu mwingine kimakosa?

Na ddiyo maana sheria inasema untakiwa utangaze kwenye gazeti ya serikali ukiwa na RB, kisha ukae mda sio chini ya miezi 3 au 6 kubaini pengine imeokotwa.

Baada ya hapo utaandika Barua kwa mkono wako kwa kuomba Mkurugenzi wa Uhamiaji namna pasi yako ilivyopoatea na hatua ulizochukua pia pasipo kusahau kueleza sababu ya kuomba ya pili?

Kisha uwape uhamiaji mda wa kufanya uchunguzi wao wa kina.

Hivyo basi nikusihi uwe mvumilivu usipende kusema kuna Rushwa labda wewe ndio uhojiwe kwa nini utake kutoa rushwa, pengine unajua pasi yako ilipo.

Akhsante.
 
ushauri wako Ni murua kabisa ila yote hayo yanamezwa Na mdudu rushwa. Tukubaliane kutokukubaliana ila rushwa pale uhamiaji Ni kubwa Sana Na Ni nje nje
 
sasa kama unajua rushwa ndo itafanya upate passport yako kwa urahisi zaidi huku umafata nini!!! si uende utoe rushwa huko ili upate kwa haraka!!!
 
Kijana naomba uwe makini na taarifa unayotoa kuhusu UHAMIAJI.

Uhamiaji sio idara ya kufanya mambo kwa kukurupuka. wanafanya kazi kwa uweledi wa hali ya juu.

Kwanza umesema umepoteza? hapo kuna changamoto na lazima uchunguzi ufanyike wa kina tofauti na hapo wao wanaweza kuwa hatiani.

Je utajuaje pasi yako inatumiwa na mtu mwingine kimakosa?

Na ddiyo maana sheria inasema untakiwa utangaze kwenye gazeti ya serikali ukiwa na RB, kisha ukae mda sio chini ya miezi 3 au 6 kubaini pengine imeokotwa.

Baada ya hapo utaandika Barua kwa mkono wako kwa kuomba Mkurugenzi wa Uhamiaji namna pasi yako ilivyopoatea na hatua ulizochukua pia pasipo kusahau kueleza sababu ya kuomba ya pili?

Kisha uwape uhamiaji mda wa kufanya uchunguzi wao wa kina.

Hivyo basi nikusihi uwe mvumilivu usipende kusema kuna Rushwa labda wewe ndio uhojiwe kwa nini utake kutoa rushwa, pengine unajua pasi yako ilipo.

Akhsante.
unasema wanafanya kaz kwa weledi? nyie dawa ipo jikon! kuna cku mtalia kusaga meno!
 
Ni kweli rushwa ipo sana, nilishuhudia mama mmoja tarehe 12 February akihitaji passport ya kwenda matibabu nje alizungushwa sana mara aambiwe apeleke vielelezo mara vitambulisho, tukamshauri aombe kuonana na Mkurugenzi wa Uhamiaji, baada ya wale wahudumu kugundua kuwa yule mama yupo kwenye hiyo process ya kwenda kwa Mkurugenzi, wakampa pass in less than one hour kitu kilichoashiria kuwa walikuwa wameprint tayari isipokuwa hawakutaka kumpa, mwingine alikuwa anasafiriri kwenda Nordic countries, tena huyu alikuwa anarenew naye wakamwambia ataiapta kesho yake, alipokwenda kwa boss wao akaambiwa asubiri passport apewe siku hiyohoyo na akapewa.

Mchezo wa rushwa unachezwa na wale maofisa waliopo kwenye yale madirisha siyo viongozi, nilichojifunza ni kuwa ukipata nafasi ya kuonana na viongozi ukawaambia shida yako wakakuelewa basi hutoi hata senti moja
 
Kwanini Tanzania suala la passport linakua kero sana? Mimi nilidhani passport ni haki yangu na pia ni njia rahisi ya kutumika kama kitambulisho. Kuwa na passport si lazima nisafiri. Sijui lini hii idara itskua na watu wrnye weledi kuiboresha same kwa jeshi la polisi. Pale jeshi litakapotambua kuwa wao si maagent wa serikali na chama tawala bali wapo kwaajili kulinda usalama ws kila mtanzania na mtu yeyote aliyepo nchini awe kihalali ama kimagumashi. Haki inatakiwa kutendwa kwa yeyote yule
 
Polisi na chama tawala haviwezi tenganishwa kama ilivyo spinal cord na brain
 
Siku zote mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni watuhumiwa.

Sijapenda uweke dhana kwamba kupata pasi ya kusafiria mpaka utoe rushwa?

Mimi mwenyewe nilishapoteza pasi ya kusafiria. na kwa uhakika nilifuata utaratibu walionielekeza pasipo kutoa hata RUSHWA.

Endelea na dhana ya kutoa rushwa utakuja kutoa rushwa hata kwenye kuandikisha mwanao chekechea maana umeshazoea kutoa rushwa.

Napinga kabisa hakuna rushwa ukiwa umekamilisha mahitaji ya ofisi husika.

Hakuna rushwa Uhamiaji ni dhana potofu mnazozijenga kwa wananchi. hebu fikiria kwa mtu ambaye hata kwa mara ya kwanza hajawahi kumiliki pasi ya kusafiria naye atakuwa anawaza tu rushwa itakapofika wakati wa kufuatilia pasi.

Usipende kuhukumu maana hata wewe utahukumiwa kwa kuhukumu. tusipende maneno ambayo leo ukiambiwa tupe uhakika wa jambo kwa evidence utajikuta hauna hata kidogo.
 
Bora hii mada inayojadiliwa inekuwa hivi- KWA NINI NSSF HAWATOI MAFAO YA WATU WALIOFUKUZWA KAZI BILA YA WAO KUJIFUKUZISHA KAZI KWA KUANDIKA BARUA YA KUOMBA KAZI.

je hamjaona wengi wanavyoteseka NSSF kudai hela ambazo ndio haki yao utafikiri walizikopesha?
 
Sawa kabisa. Anzisha hiyo mada nasi tutaijadili. Lakini kwa sasa tunaendelea kuijadili hii inayohusiana na matatizo yanayojitokeza pindi mtu anapofuatilia pasi yake ya kusafiria nje ya nchi.
 
Nashukuru Mimi nimechukua yangu leo japo kuna mazingira ya kutengeneza rushwa ila nashukuru sijatumia zaidi ya (80,000/= ) 10,000/= ya kujaza form online, 20,000/= ya wakili kwa ajili ya kiapo cha changu na cha mzazi na 50,000/= ya Ada, nilijiandikisha tarehe 18/10/2017 imetoka 19/12/2017 japo nishaenda pale zaidi ya mara tatu kuangalia, Leo ndiyo nimefanikiwa kuikabidhiwa
 
Kwanini Tanzania suala la passport linakua kero sana? Mimi nilidhani passport ni haki yangu na pia ni njia rahisi ya kutumika kama kitambulisho. Kuwa na passport si lazima nisafiri. Sijui lini hii idara itskua na watu wrnye weledi kuiboresha same kwa jeshi la polisi. Pale jeshi litakapotambua kuwa wao si maagent wa serikali na chama tawala bali wapo kwaajili kulinda usalama ws kila mtanzania na mtu yeyote aliyepo nchini awe kihalali ama kimagumashi. Haki inatakiwa kutendwa kwa yeyote yule
Hapana,passport haitakiwi kutumika kama kitambulisho ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom