much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,590
Wazee wa kiki na matukio hivi ndo mnategemea kuingia ikulu kweli?Alizaliwa lini na wapi , ndugu zake ni akina nani , alisoma wapi na alisomea nini , aliwahi kufanya nini na alifanyia wapi , Aliwahi kucheza soka , alichezea timu gani , nani alimleta TFF na kwanini ?
Labda kwa huruma
Sent using Jamii Forums mobile app