Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 738
- 877
Kwani hii yote inatokana na nini mbona mmelivalia sana njuga
Hamsa hamsa hamsa.. !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamsa hamsa hamsa.. !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafahamiki wazazi wala ndugu zake , haijulikani hata kijiji alichozaliwa
Kusoma naye hakumpi mtu uhalali wa kuwa raia.Fitina tu huyu jamaa ni m bongo kabisa nimesoma nae shule moja sekondari
Mbona Kiswahili chenyewe kinamsumbua.Fitina tu huyu jamaa ni m bongo kabisa nimesoma nae shule moja sekondari
Asubuhi ndo hii MkuuUkoo wake upo kenya off cause ananetwork kubwa ya mambo ya ajabu asubuhi nitakuja rasm kwasababu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizaliwa lini na wapi , ndugu zake ni akina nani , alisoma wapi na alisomea nini , aliwahi kufanya nini na alifanyia wapi , Aliwahi kucheza soka , alichezea timu gani , nani alimleta TFF na kwanini ?
Ngumu sana kupata hizo taarifa kule Somalia. Tuvumilie vita viishe kabisa.
Huyu baba na mama yake ni Alshabab kutoka Mogadishu na ni kada kindakindaki wa kijani
Huyu jamaa kwa hii kauli yake ya kuchanganya mambo ya siasa kwenye mpira, amesababisha watanzania wapenda soka na tusiofungamana na chama chochote kile cha siasa tumuone ni kilaza wa mwisho na mtu mwenye akili ndogo sana aliyekabidhiwa majukumu makubwa asiyostahili.
Binafsi, nimemdharau sana! Mfano wake wa kumlinganisha hasimu wake Michael Wambura na mh.Tundu Lissu ulikua totally irrelevant! Siasa na mpira wapi na wapi! Alitakiwa afiche ujinga/mahaba yake maana anafahamika fika ni kada wa chama tawala.
Tapeli fulani la kisomali
Hivi aliacha kazi ya u DED ? pia alikuaga FoS ( Friends of Simba )
Sent using Jamii Forums mobile app
Karia ni TISS hilo ni well known ila anachofanya sio sawa hata kama kumuimpress bwana mkubwa
Mwache aendelee kumuabudu binadamu ili aje avune anachopanda
Ukoo wake upo kenya off cause ananetwork kubwa ya mambo ya ajabu asubuhi nitakuja rasm kwasababu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafahamiki wazazi wala ndugu zake , haijulikani hata kijiji alichozaliwa
Idara ya Uhamiaji Nchini imethibitisha kuwa Kaimu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace John Karia ambaye ni Mgombea Urais wa TFF katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika August 12 mwaka huu ni Raia halali wa Tanzania.
Akizungumza na waandishi habari makao makuu ya Idara hiyo, Msemaji Mkuu wa Uhamiaji, Ally Mtanga amesema kuwa mmoja wa wagombea wa Urais wa TFF alimkatia rufaa mgombea mwenzake Wallace Karia kuwa si raia wa Tanzania hali ambayo inafanya akose sifa ya kuwa mgombea wa kiti hicho.
"Wallace Karia ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa chini ya kifungu cha 5(1) na (2) cha sheria ya uraia ya Tanzania sura ya 357(Rejeo la 2002) na kanuni zake, wakati huo huo akiwa raia wa Somalia kwa kurithi".
Mtanga amesisitiza utambuzi wa uraia upo kisheria sura ya 357 (rejeo la 2002} uraia hauangaliwi Rangi, kabila wala dini.
Idara hiyo imevitaka vilabu vyote na taasisi za michezo kuhakikisha wafanyakazi wote na wachezaji ambao raia wa kigeni wanatimiza taratibu zote za kisheria za kukaa nchini bila kufanya hivyo sheria itashika mkondo wake .

Kweli kabisaHuyu jamaa kwa hii kauli yake ya kuchanganya mambo ya siasa kwenye mpira, amesababisha watanzania wapenda soka na tusiofungamana na chama chochote kile cha siasa tumuone ni kilaza wa mwisho na mtu mwenye akili ndogo sana aliyekabidhiwa majukumu makubwa asiyostahili.