redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 6,456
- 14,178
Karia ni Mtanzani. Yupo kwenye mpira wa Tanzania kwa miaka mingi.Mambo mengine anayafahamu mwajili wake.Alizaliwa lini na wapi , ndugu zake ni akina nani , alisoma wapi na alisomea nini , aliwahi kufanya nini na alifanyia wapi , Aliwahi kucheza soka , alichezea timu gani , nani alimleta TFF na kwanini ?
Sent using Jamii Forums mobile app