LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
Wakenya wengi wamefoji vyeti vya urai wa Tanzania nakujimilikisha migodi ya Tanzanite,wanajifanya ni watanzania waliosoma Kenya.Wakenya hao ni chanzo cha utoroshaji wa Madini ya Tanzanite mirerani na green garnet kwenye migodi ya lemishuku.Uhamiaji waanze msako kila mgodi.