Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

Kwa nini Watanzania hatujitambuwi? Kwa nini Watanzania tunaheshimu rangi ya mtu Na kujidharau sisi wenyewe. East Africa ni nchi ambazo wahindi wanaingia na brief case tupu na kuondoka mabilionea, wakisaidiwa na viongozi wetu, bila ya kujali madhara kwa wananchi. Utajiri wa Manji ni fedha za Watanzania, kazipata akisaidiwa na viongozi wetu tuliowaamini na kuwaweka madarakani . Manji ametajilika kwa kupiga tenda hewa wazi wazi haswa wakati wa Kikwete. ManjI siyo muwekezaji bali ni mwizi mmojawapo aliyoitafuna Tanzania na kuiacha mifupa mitupu. Mufano mmoja tu. Japan ilitowa fedha za kuwasaidia wafanya biashara wadogo wadogo. Kikwete akamukabithi fedha hizo Manji. Hakuna machinga hata mmoja aliziona hizo fedha. Manji alitengeneza list ya wafanya biashara anawo wajuwa yeye ikiwa pamoja na wabunge, badala ya kuwapa fedha aliwapa magali
aliyokuwa akiuza na vitu vingine mbali mbali na kuwasainisha kitu cha milioni 40 anaweka saini kuwa wamepokea vitu vya thamani ya milioni 100. Wengi walikubali kusaini wakijuwa hawatalipa, huwo ulikuwa wakati wa ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika Tanzania. Watu kama Se8th, Rugemalila na raia wengi wakihindi. Wanaiba uganda Na kukimbilia Kenya. Wanaiba Kenya Na kukimbilia Tanzania, kutoka Tanzania wanakimbilia South Africa. Afrika ni tajiri lakini uongozi wetu ni mbaya ndiyo tunataka kwenye umasikini. Wafanya biashara walikuja kupata shock wakati wa Hayati Magufuli wengi wakapelekewa baruwa ya kurudisha fedha hizo. Wengi walipata shock wengine hata kufa. Hiyo ni mojawapo tu. Fedha za Manji ni za Watanzani. Kwa sasa Hayati Maguguli hatunaye tena Manji karudi kama muwekezaji. Kwa Kweli viongozi wetu wamewafanya Watanzania kama wajinga wa kutupwa. Rest in peace our god sent President Magufuli.
Umeandika mengi lakini ni majungu tu
 
Back
Top Bottom