Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

Sasa ukifika pale kulasini ndo panachosha Chet cha kuzaliwa awataki wanataka nida baadae kweny kujaza wameeka kipengele cha cheti hahaha hii serikali aina tofaut zozte kelel tu na njaa zinawaumiza
Yani mwenyew mpaka nimechoka toka mwezi wa 3 mpaka saiv ata dalili hamna
 
Hakuna cha juu wala cha wapi, wanakuambia passport yako itakuwa tayari baada ya Siku saba za kazi (Seven working days) Ni vyema watu mkaanza kuandaa hivyo vielelezo THEN apply online. Naomba nikuhakikishie Uhamiaji ya Leo ni bora Mara dufu ya Uhamiaji ya miaka michahe iliyopita.

Ahsante

Sasa wafahamishe kwenye iyo online pia waandike 7days unapata passpot yako sio kwa mdomo. Kama vielelezo wanavohitaji vimekamilika tunataka uwazi.
 
Ndio maana sishangai kuona JPM ni mwaka wa nne sasa hajongeza hata senti kwa hii mitumishi ya umma ya Tanzania(na mimi ni mtumishi wa umma )
 
Mimi passport yangu inaexpire 2025 pia ila ndani yake ina visa inayoexpire 2022.Hapa najiuliza nikibadili passport mpya visa yangu itakuwaje?maana imo ndani ya passport ya zamani.

naona wewe ni mgeni ukibadili passport na viza ipo kwenye passport ya zamani unaziambatanisha passport mpya na ya zamani yenye viza unazipiga pini ya staple unatembea nazo zote mpaka viza ikiisha utakapokuja badili viza watakuwekea kwenye pass mpya
 
Ndio maana sishangai kuona JPM ni mwaka wa nne sasa hajongeza hata senti kwa hii mitumishi ya umma ya Tanzania(na mimi ni mtumishi wa umma )
Magufuli anajua kuwa wanapata pesa nyingi kwa njia za Rushwa ndiyo maana kagoma kuwaongeza mishahara
 
Ndio dunia ya tatu mkuu.Usishangae.Ukienda Wizara ya Mambo ya Ndani utakuta foleni na majina ya.ebandikwa ukutani utadhani tuko enzi za ujima.Akili za kizee ni shida.
Marekani kwa mfano kila kitu kinafanywa online na kutumia mfumo wa Posta.Yani unaweza ata usikanyage kwenye ofisi za uhamiaji.

Ndio maana tunaitwa S***hole Countries.
 
UWAZIRI WA MAMBO YA NDANI WAMPE LUKUVI YOTE YATAAISHA
Kwa kweli wizara ingekuwa chini ya Lukuvi kusingrkuwa na usumbufu na pia angeongeza matawi ya kutolea passport na pengine watu wangepata passport kwa siku moja au mbili kama Ulaya Asia na America
 
Ndio dunia ya tatu mkuu.Usishangae.Ukienda Wizara ya Mambo ya Ndani utakuta foleni na majina ya.ebandikwa ukutani utadhani tuko enzi za ujima.Akili za kizee ni shida.
Marekani kwa mfano kila kitu kinafanywa online na kutumia mfumo wa Posta.Yani unaweza ata usikanyage kwenye ofisi za uhamiaji.

Ndio maana tunaitwa S***hole Countries.
Cha ajabu hawaigi mazuri ya marekani wamekalia kuiga mabaya pekee
 
Sijui kwanini taasisi nyingi za serikali zina fail.
Mtu una passport kwa zaidi ya miaka 25 na waliitoa wao,leo wamekutaka uende kubadilisha wakupe mpya wanaanza kujitia hawana imani nawe!0
Halafu bei hiyo ni kubwa sana 150,000/=..
Ile ile 50 ilikua fair
 
Rushwa ni mbaya sana. Usubumbufu wote huo ili mtu ajikusanyie. Sasa uaiombe uwe na ngozi nyeupe halafu uende kuomba passport. Jamaa wanaomba cheti cha babu alie zaliwa miaka 100 nyuma.
 
1. Mimi nilipata passport mpya hivi karibuni ambapo ilichukua siku saba za kazi (Seven working days) kuipata

2. Nilipata taarifa kwamba Passport yangu IPO tayari kuchukuliwa kupitia mtandaoni (website ya uhamiaji).

3. Ni muhimu kufuata utaratibu ili upate Passport mpya bila usumbufu. Ukishajaza ile online application na kulipia zile 20,000 kitakachofuata ni kwenda uhamiaji na hardcopy ya form zako ukiwa na 130,000 za kuipa ambapo Siku hiyo hiyo utamaliza kila kitu (Mnaweza kusubiri hata hadi SAA 12 jioni) KITAKACHOFUATA ni wewe kwenda kuchukua passport yako pale Mambo ya ndani.

4. Jitahidi kupata Passport mpya sasa kabla hujachelewa.

5. Hongereni Uhamiaji kwa kazi nzuri
Mkuu kwasasa huwezi pata passpoti haraka ni mpaka mwezi uishe watu ni wengi sana. Na hata wenyewe wanakuambia live watu wengi sana wanabadilisha wakati huu ila kama una haraka uwe na tiketi ya safari.
 
Back
Top Bottom