Uhamiaji: Mishahara Yao

Uhamiaji: Mishahara Yao

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari wadau,

Kwa wale wenye taarifa mwageni hapa, mshahara wa uhamiaji kwa graduate (mkaguzi msaidizi) ni shilingi ngapi kwa mwezi??

Koplo na Constable nao wanalipwa shilingi ngapi?

Kama haujui fanya upite, usichafue hewa.

NAWASILISHA.
 
Habari wadau,

Kwa wale wenye taarifa mwageni hapa, mshahara wa uhamiaji
kwa graduate (mkaguzi msaidizi) ni shilingi ngapi kwa mwezi??

Koplo na Constable nao wanalipwa shilingi ngapi??

Kama haujui fanya upite, usichafue hewa.
NAWASILISHA.

Wanalipa TGS D kwa graduate
 
Umepata kazi nini, subiri mkataba wa kazi utaona mshahara ni shilingi ngapi....!!!
 
Nangoja majibu!

Please help guys!
 
Haizidi laki 5 mkuu kwa graduates,huko kwa coplo na konstebo utajiongeza mwenyewe.
 
uhamiaji scale zao ni TPSW na sio TGS kama mdau alivyosema hapo juu!! coplo inaanzia 389000 mpaka 547000 basic,graduate yupo kati ya 547000 mpaka 7 na usheeee!!! lakini kuna posho ya 150,000/= so akili mu kichwa!!

mkuu, Constable analipwaje?
 
Nyie mnaobadili kazi mnasumbua sana,tulia na kazi yako wazalendo tuache wenyewe na mishahara yetu.
Tangu lin mishahara ikawa wazi bwana mnataka tuwadharau walinzi wetu na baba zetu .
 
Mtu kaza hana halafu anasumbua tu server za invisble
 
Back
Top Bottom