Uhamiaji: Mishahara Yao

Uhamiaji: Mishahara Yao

mnakera mnaoulizia Misha Ara wakati wanaotakiwa no 70 name mlioapply ni 10000.
shaurizenu Misha Ara hupanda ukiwa kazini
 
ndg mchunguzi husifikiri kazi ya jeshi ni kama ni sawa na customer care huko voda na tigo. na si rahisi kuipata kama unavyofikiri.

usisaau jezi kesho koz huwez jua uwanja wa taifa kuna nini,
 
usisaau jezi kesho koz huwez jua uwanja wa taifa kuna nini,

Hapo ndo patamu, cjui nitoke kipapaaa au nitoke kitizi zaidi? Haijulikani kama ni interview ya mazoezi au ya nn....atakayejua pliz atupe infor maana....mmh
 

Attachments

  • 1402585408949.jpg
    1402585408949.jpg
    39.5 KB · Views: 300
Back
Top Bottom