Uhamiaji: Mishahara Yao

Uhamiaji: Mishahara Yao

Duh,kwel bongo majanga,kwa mishahara hyo c bora ukawe mwalimu tu
 
uhamiaji scale zao ni TPSW na sio TGS kama mdau alivyosema hapo juu!! coplo inaanzia 389000 mpaka 547000 basic,graduate yupo kati ya 547000 mpaka 7 na usheeee!!! lakini kuna posho ya 150,000/= so akili mu kichwa!!

Upo juu mwana.
 
u kno now days pple r not after salary but allowances.so wale jamaa wanamishahara midogo ila mambo yao makubwa usiombe.nilikuwa namanga 1 day naelekea kenya dogo m1 Wa uhamiaji alichana hela akutupa chini alikuwa ndani ya cresta.watu wakawa wanaongea Kuwa dogo kashapiga za magendo.kwa iyo kwa taarifa yako these pple hawaiishi kwa salaries.
 
duh.. never heard about this
 
mishahara ya uhamiaji ni midogo kuliko polisi ila kwa wale ambao sio waaminifu rushwa kwa mwezi ni ni mara kumi ya mshahara
 
Ubahatike kukaaa boda ndo upate hiyo rushwa
mishahara ya uhamiaji ni midogo kuliko polisi ila kwa wale ambao sio waaminifu rushwa kwa mwezi ni ni mara kumi ya mshahara
 
Mkuu mbona unaulizia uliomba nafasi kwenye post walizotoa unapima upepo.we we funga mkanda jitose mengine hayo mbele kwa mbele
 
Ubahatike kukaaa boda ndo upate hiyo rushwa

hata hapa town mbona mishe mingi wanapiga? mimi ni mzalendo sitatoa wala kupokea rushwa ila najua mianya wanayotumia iwe wapi uhamiaji rushwa kibao
 
Ila mbona hawa jmaa sijawahi sikia wakililiwa kuhusu mishahara midogo inamaana wao wako kizalendo zaidi....?
 
jamani mwenye updates za hawa jamaa..
 
Habari wadau,

Kwa wale wenye taarifa mwageni hapa, mshahara wa uhamiaji kwa graduate (mkaguzi msaidizi) ni shilingi ngapi kwa mwezi??

Koplo na Constable nao wanalipwa shilingi ngapi?

Kama haujui fanya upite, usichafue hewa.

NAWASILISHA.

Umeshindwa kuchunguza
 
u kno now days pple r not after salary but allowances.so wale jamaa wanamishahara midogo ila mambo yao makubwa usiombe.nilikuwa namanga 1 day naelekea kenya dogo m1 Wa uhamiaji alichana hela akutupa chini alikuwa ndani ya cresta.watu wakawa wanaongea Kuwa dogo kashapiga za magendo.kwa iyo kwa taarifa yako these pple hawaiishi kwa salaries.

Peleka hii kitu facebook
 
Jamani naomba kulianzisha upya suala hili. Mshahara kwa mkaguzi ni kiasi gani mbona wausika umuweki hiki kitu sawa .
 
Wanasema twende uwanja taifa sijaelewa ndo kwata au maana hawajaeleza ni usaili wa aina gani.
 
ndg mchunguzi husifikiri kazi ya jeshi ni kama ni sawa na customer care huko voda na tigo. na si rahisi kuipata kama unavyofikiri.
 
Back
Top Bottom