wewe ni mjinga. kwenye hiyo shule wanaosoma ni wataliano au watanzania? wanaofundisha ni wataliano au watanzania? nijuavyo mimi, wapo baadhi ya wazungu wakija huku, ili waendesha vizuri shule wanazofungua hapa, huwa wanaweka eneo la fund raising, and pesa hizo huwa hawategemei kuzipata toka kwa watanzania. watanzania ni masikini mzee hakuna hela hapa ya kuchangia shule, wao kule kao wanakotoka huwa wanajua namna ya kutafuta pesa kuleta huku, na wazungu wanawaamini wao kwasababu ni wa kwao, wazungu huamini waafrica ni walarushwa hivyo ni ngumu sana mzungu kuchangia pesa tokea kule kwao kuweka mkononi mwa mtu asiyemfahamu vizuri. akichangisha pesa, si zinakuja kuendeleza shule za kibongo? ukimfukuza anaenda kenya. hana hasara. kenya watampokea na watoto wa kikenya wataendelea kupokea elimu.Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria Benard kwa madai kuwa girlfriend wake ndio mmiliki wa shule hiyo kitu ambacho sio kweli kwani anaidanganya serikali. Mzungu huyu anamiliki ukurasa wake wa Facebook ujulikanao kama CHARITY OF CHILDREN HOPE IN TANZANIA Wenye namba za simu 0746 588048 na dhumuni la kufungua ukurasa huo ni kuchangisha michango ya mamilioni kwa ajili ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi lakini kiuhalisia amesajili NGO lakini anaendesha shule hivyo anaidanganya serikali. Uhamiaji fuatilieni huyu mzungu kwa haraka kujua kama ana kibali Cha ajira (work Permit)? Au ndio amejiajiri kwa mgongo wa girlfriend wake? Na
1 Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
6 kuhusu uhalali wa kuishi hapa nchini vipi hati ya kusafiria na kibali Cha makazi ni Sheria zipi zinatumika kujua kama yupo kihalali? Naomba kuwasilisha mada kwa wahusika naamini uhamiaji Arusha mtalifanyia kazi
Acha mambo yako ya kiduanzi, kwani akitumia kufungua kwa mgongo wa girlfriend wake shida ipo wapi wewe unaumia nini, na wakati fika unajua sheria za nchi yako sio kwa wageni sio kwa wazawa zina changamoto kuanzisha uwekezajiKuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria Benard kwa madai kuwa girlfriend wake ndio mmiliki wa shule hiyo kitu ambacho sio kweli kwani anaidanganya serikali. Mzungu huyu anamiliki ukurasa wake wa Facebook ujulikanao kama CHARITY OF CHILDREN HOPE IN TANZANIA Wenye namba za simu 0746 588048 na dhumuni la kufungua ukurasa huo ni kuchangisha michango ya mamilioni kwa ajili ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi lakini kiuhalisia amesajili NGO lakini anaendesha shule hivyo anaidanganya serikali. Uhamiaji fuatilieni huyu mzungu kwa haraka kujua kama ana kibali Cha ajira (work Permit)? Au ndio amejiajiri kwa mgongo wa girlfriend wake? Na
1 Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
6 kuhusu uhalali wa kuishi hapa nchini vipi hati ya kusafiria na kibali Cha makazi ni Sheria zipi zinatumika kujua kama yupo kihalali? Naomba kuwasilisha mada kwa wahusika naamini uhamiaji Arusha mtalifanyia kazi
Hii chuki ni zaidi ya ile ya kurithiKuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria Benard kwa madai kuwa girlfriend wake ndio mmiliki wa shule hiyo kitu ambacho sio kweli kwani anaidanganya serikali. Mzungu huyu anamiliki ukurasa wake wa Facebook ujulikanao kama CHARITY OF CHILDREN HOPE IN TANZANIA Wenye namba za simu 0746 588048 na dhumuni la kufungua ukurasa huo ni kuchangisha michango ya mamilioni kwa ajili ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi lakini kiuhalisia amesajili NGO lakini anaendesha shule hivyo anaidanganya serikali. Uhamiaji fuatilieni huyu mzungu kwa haraka kujua kama ana kibali Cha ajira (work Permit)? Au ndio amejiajiri kwa mgongo wa girlfriend wake? Na
1 Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
6 kuhusu uhalali wa kuishi hapa nchini vipi hati ya kusafiria na kibali Cha makazi ni Sheria zipi zinatumika kujua kama yupo kihalali? Naomba kuwasilisha mada kwa wahusika naamini uhamiaji Arusha mtalifanyia kazi
Acha ukuda amekupigia pisi yako niniKuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria Benard kwa madai kuwa girlfriend wake ndio mmiliki wa shule hiyo kitu ambacho sio kweli kwani anaidanganya serikali. Mzungu huyu anamiliki ukurasa wake wa Facebook ujulikanao kama CHARITY OF CHILDREN HOPE IN TANZANIA Wenye namba za simu 0746 588048 na dhumuni la kufungua ukurasa huo ni kuchangisha michango ya mamilioni kwa ajili ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi lakini kiuhalisia amesajili NGO lakini anaendesha shule hivyo anaidanganya serikali. Uhamiaji fuatilieni huyu mzungu kwa haraka kujua kama ana kibali Cha ajira (work Permit)? Au ndio amejiajiri kwa mgongo wa girlfriend wake? Na
1 Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
6 kuhusu uhalali wa kuishi hapa nchini vipi hati ya kusafiria na kibali Cha makazi ni Sheria zipi zinatumika kujua kama yupo kihalali? Naomba kuwasilisha mada kwa wahusika naamini uhamiaji Arusha mtalifanyia kazi
Huyu atakuwa alikuwa anamsarandia Victoria akapigwa chini.Acha ukuda amekupigia pisi yako nini
Umetumia Busara sana mkuuu, ahsante kwa majibu mazuri ila sijui kma yana ukwel ila umenishawishiMtoa mada nikujibu tu kwamba mzungu huyo Ernesto analipa kodi ya mapato na vibali anavyo japo si perment resident.ila alipata kibali cha ndoa RGFM no 9 mwaka 2018 kama sikosei na akahalalisha ndoa yake.Sheria inamtambua kama ni mume halali wa huyu mama. Kuhusu work permit yake anayo class D rejea sheria za work permits Tanzania. Sasa issue ni kuwa kama hiyo shule ni registered nitakuwa na data soon so hoja yako sioni.Account za shule na misaada ya nje tunazo taarifa hapa Tra Arusha na ukihitaji uje kwetu na kibali cha mahakama tutakupa details zote
🤣🤣🤣🤣🤣 Point ya Mwisho imenichekesha, anyway najifunza vingi kupitia post hii1. Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
Jibu: Sheria inamtaka afuate utaratibu. Hamna mahali inakataza raia wa kigeni kufungua shule/NGO/Kampuni
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
Jibu: Ndiyo
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
Jibu linafanana na jibu la swali la 1. Kiufupi, Sheria ya Ardhi ya Tanzania, inatoa mwanya kwa raia wa kigeni kumiliki ardhi au raia wa Tanzania kumiliki ardhi kwa ubia na raia wa kigeni kwa nia ya kuwekeza.(Kifungu cha 20/21 Sheria namba 3 ya Mwaka 1999)
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
Kama amefuata taratibu za swali la 1-3, ni uhakika kabisa atakuwa analipa kodi. Ni ngumu kukwepa.
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
Jibu; hapa mtoa mada unaonekana una chuki binafsi. Tafuta kazi ufanye!
Bye!