Uhalisia wa mgombea

Uhalisia wa mgombea

Kulia ntiti, kushoto ntiti, juu ntiti chini ntiti

Njomba ni atali..mweee!

Hata hivyo jamaa ana roho ngumu sana, na hilo linanipa matumaini kwamba hata kama akishinda hii hasira na kadhia anayopambana nayo kwenye kampeni hatataka impate tena 2020, kwa hiyo anaweza kua mkali na akabadilika kuliko wengi wanavyofikiria.
 
Hiyo ndiyo Tanzania ya Magufuli sio tanzania ya watanzania
 
Halafu kuna wale wajinga wanaomsifu kwa kuhutubia kwa muda mrefu,hakuna anachoongea zaidi ya pumba tu.
Kweli mwaka huu CCM wamekosa wagombea,huyo mama Samiah mwenyewe bomu anasema atawezesha kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu!
cc kubwa la mapopoma La Brujita na msaidizi wake DuppyConqueror

Hahaaa hii kali:-D:-D.

Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu:-D
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom