Uhalisia wa mgombea

Uhalisia wa mgombea

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,087
1444360725565.jpg
 
Halafu kuna wale wajinga wanaomsifu kwa kuhutubia kwa muda mrefu,hakuna anachoongea zaidi ya pumba tu.
Kweli mwaka huu CCM wamekosa wagombea,huyo mama Samiah mwenyewe bomu anasema atawezesha kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu!
cc kubwa la mapopoma La Brujita na msaidizi wake DuppyConqueror
nifah bado siku chache tu tuukomboe wakati uliopotea na kupotezwa na ccm... Nitakukumbuka sana jinsi ulivyopambana bila kuchoka hapa jukwaani na wale wapotoshaji wote
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana Lowasa alisema, kwanza elimu pili elimu na tatu elimu watu wakamshangaa. Huyu Magufuli kanyimwa ubongo kapewa misuli ya pushup jukwaani jamani ni aibu sana.
 
Asante sana mkuu mshana jr,tuko pamoja.
Leo nimepata masikitiko makubwa kutokana na msiba uliotokea kwenye jimbo langu la nyumbani Arusha Mjini,nimeumia kuona mbunge wangu Lema atacheleweshwa kupewa ubunge wake na uwaziri wa mambo ya ndani.
Si unajua tena charity beggins at home?
 
Huyu mtu anatumia nguvu nyingi sana kutuonesha yuko fit,kuna kitu hakiko sawa.
 
Asante sana mkuu mshana jr,tuko pamoja.
Leo nimepata masikitiko makubwa kutokana na msiba uliotokea kwenye jimbo langu la nyumbani Arusha Mjini,nimeumia kuona mbunge wangu Lema atacheleweshwa kupewa ubunge wake na uwaziri wa mambo ya ndani.
Si unajua tena charity beggins at home?

Pole sana Jirani tupo pamoja Arusha mjini na Arumeru mashariki sio mbali, ila ni imani yangu na wenzangu wengi wapenda mabadiliko kwamba mh Lema atachelewa tu lakini Kwa idhini ya Allah atafika salama
 
Last edited by a moderator:
Halafu kuna wale wajinga wanaomsifu kwa kuhutubia kwa muda mrefu,hakuna anachoongea zaidi ya pumba tu.
Kweli mwaka huu CCM wamekosa wagombea,huyo mama Samiah mwenyewe bomu anasema atawezesha kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu!
cc kubwa la mapopoma La Brujita na msaidizi wake DuppyConqueror

futa kauli zako bibie
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana Lowasa alisema, kwanza elimu pili elimu na tatu elimu watu wakamshangaa. Huyu Magufuli kanyimwa ubongo kapewa misuli ya pushup jukwaani jamani ni aibu sana.

ila ndo rais wako utafanyaje sasa
 
Msimlaumu sana, uchaguzi wa mwaka huu ndani ntiti nje ntiti...<si,laumu sana,="" uchaguzi="" wa="" mwaka="" huu="" una="" mikikimikiki="" ya="" hatari!<="" html=""></si,laumu>
 
teh teh duh Mungu anajua sana jinsi ya kuwaumbua hawa maduanzi ya fisiem ambayo yanatuona watz wa enzi hii ni kama wale wa zidumu fikra za mwenyekiti, mwaka huu wao kwani aibu wataipata na uchaguzi hawachomoi
VIVA UKAWA!!!
 
Sasa huyu mgombea ashapoteza uelekeo. Hotuba ya dk 5 ina msingi sana kuliko masaa 2 ya kelele.
 
Asante sana mkuu mshana jr,tuko pamoja.
Leo nimepata masikitiko makubwa kutokana na msiba uliotokea kwenye jimbo langu la nyumbani Arusha Mjini,nimeumia kuona mbunge wangu Lema atacheleweshwa kupewa ubunge wake na uwaziri wa mambo ya ndani.
Si unajua tena charity beggins at home?

Na kama ingekuwa mbunge wako ndo kafa ungesemaje . Mpumbavu kichwa unga.
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyu mgombea ashapoteza uelekeo. Hotuba ya dk 5 ina msingi sana kuliko masaa 2 ya kelele.

Upumbavu mwingine eti hotuba ya dk 5 nayo ni sifa. Ulienda shule. Na UN atamtuma Sumaye? Jinga. Na kama kweli angeshinda Tz ingeandika historia ya pekee.
 
UN gani unaiongelea, hii inayojali na kuheshimu haki za binadamu wote? Kama kuna umuhimu wa kuhutubia atahutubia tu kwa njia yeyote ile iwe kwa kukaa au kusimaa lakini mazingira ya kuwezesha watu wa aina zote kuhutubia UN yapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom