Uhalisia wa Maisha ya Ndoa

Uhalisia wa Maisha ya Ndoa

Ukishaamua kuolewa kubali kuishi maisha ya ndoa .. Na kubali kuishi maisha ya mtoto akiwepo.. Kama hutaki kushi maisha ya mwingine better to be alone for life ....

But kila hatua maishani ni
Vizuri kujifunza kuhifurahia .. Na pia kujifunza kukabiliana na changamoto utaenjoy maisha yako yote ila ukishindwa kufurahia kila hatua utakuwa unalalamika ambapo hupeleke kupoteza mwelekeo na kuwa na chuki mda mwingi na furaha kusikia kwa wengine...

Mbarikiwe
Ukitaka uishi maisha mafupi ingia kwenye ndoa
 
Ukitaka uishi maisha mafupi ingia kwenye ndoa
Hapana jamani ! Usitishie wat ! Maisha yatakuwa mafupi endapo utakurupuka ! Kuna sifa sahivi ambazo mwanamke anakuwa Nazo, ambazo ndio zitafanya uwepesi wa maisha yako. Alafu kingine , jamani vijana sasa hivi tuna mitandao, huko YouTube zimejaa semina " you name it " yaani kama uwezi zoma vitabu vya mahusiano, jitahidi kufuatilia seminar za kiongozi wa dini zimejaa , zinaeleza majukumu ya Mume/ mke na nini utegemee unapoingia kwenye ndoa, vijana wengi wa nafikiri ukisha oa basi ile Tania ya kwenda kuangalia mechi mpaka saa saba za usiku itaendelea, ukisha oa lazima ujue umekuwa Taasisi, ni lazima uwe na utaratibu kila utakachofanya sasa ujue kuwa kuna mtu wa pili pembeni, maamuzi hayata fanyika kibinafsi lazima upeleke kwenye bodi ya wakurugenzi wewe&mkeo mjadiliane mpaka maamuzi yawe mutual !! Tujifunze vijana, shule ziko zimezagaa ni mda wetu tuu....
 
Back
Top Bottom