The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hapo kila mtu atasema anataka kurudi miaka kadhaa nyumaJana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!
Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!
Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
Hahaha!!! Samora banaaam learning something.. keep talkin guys
[/COLOR]
hapo kwenye red unanikumbusha story ya jamaa ambao wakiwa bar kila mmoja anajitutumua kuwa yeye undava undava tu mwanamke hambabaishi nyumbani kumbe weeeee akiingia tu 'mama Kayai nisamehe nimechelewa,sio mimi ,ni Bishanga kanichelewesha na porojo zakeeeee,maneno kibao huku amepiga magoti!
Hahaha!!!!😛ound:😛ound:i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner
bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:
Lizzy,
Nina wasiwasi na unakoelekea sasa!
Ndoa zoote uwa inatokea kama ajali - Hakuna watu waliofunga ndoa baada ya kufanya tathimini kama unazofanya - No, Never.... Ndoa haina KPI wala Bench-Marking, Not at all ... Normally, Ndoa ni mwanzo mpya - Ni kama unavyozaliwa - Hakuna aliyetuma maombi kwa Baba na Mama yake kuwa atungwe mimba na kuja dunia - It is simply natural... Sijui kama ulishawahi kufikiri kuwa "Ni heri usingezaliwa.."
i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner
bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:
mkuu bila yule shemeji yako sijui ningekua wapi... anavumilia ujinga wangu lakini pia ananipa faraja na matumaini, and sometimes i return the honors!!! :dance:Hahaha!!!!😛ound:😛ound:
Kwanza ni vema kuwa na matarajio ili uweze kupima. Cha muhimu ni kuwa realistic kwa sababu utakuwa unadeal na mtu/watu na kila mmoja yupo tofauti na zaidi wanabadilika (dynamic) with time and circumstances. Ni muhimu pia ku-manage matarajio yako na hapo hapo matarajio ya mwenzako.Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
Kikubwa ni kuwa na mwenza wa kushirikiana nae katika maisha. Lakini ni wazi pia kuna social pressure zilichangia kwa kiasi fulani (eg rafiki zako wa karibu wote wameoa, wazazi nyumbani wanakuuliza uliza mipango yako, unachoshwa na vya 'kupimiwa' na unataka vya 'kujipimia mwenye' etc)....Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
Hapana, si yote. Ni mchanganyikao kwa kweli. Mengine yalikuwa mabaya kuliko nilivyotarajia na mengine yalikuwa mazuri kupita matarajio. Kuna mengine kabla hujaingina unaweza kudhani unacontrol nayo kumbe hapana! Kwa mfano, unaweza kuwa ulitarajia watoto...lakini usipate na wakati mwingine bila sababu zinazoeleweka kitabibu!...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
Ndoa zina ups and downs nyingi sana na haziishi! Hivyo sometimes yes najuta lakini mara nyingi nashukuru! Inategemea reference yako ni nini. Wakati mwingine ukiona kwako kunaungua ujue kwa mwenzio kunateketea!...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
Uamuzi tofauti kwenye nini? Kuoa au kutokuoa au nani wa kuoana nae? Maana all along kuna chain ya maamuzi tunafanya ambayo yanadetermine fate ya maisha yetu ya mbele ya ndoa. Kimsingi tunapofanya maamuzi ya kuoa tunakuwa tayari tumeshatengeza risk profile (ya vitu vyote ambavyo huvijui kwa wakati huo) na uamuzi mara nyingi unazingatia uhusiano kati ya 'risk' na 'return'. Sasa kama unajua kila kitu kwa sasa, ni kama vile hakuna risk yoyote - everything is certain! Sasa unless kama katika options zilizopo kwa wakati huo nazo hazina risk (I know everything of them now and in future), then bado ningemchagua huyu huyu niliye naye kwa kuzingatia 'returns' ambazo tayari nazijua. Najua katika ndoa nyingie jibu linaweza kuwa hapana....Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
The Following User Says Thank You to MTM For This Useful Post:mkuu bila yule shemeji yako sijui ningekua wapi... anavumilia ujinga wangu lakini pia ananipa faraja na matumaini, and sometimes i return the honors!!! :dance:
Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!
Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!
Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
Sitazisoma posts za hii sredi
Ntajazisoma after kuolewa
Hahaha...naomba mawazo yako dear ili na wewe nikukumbuke kwenye speech yangu ya ushindi!
Kuna jamaa anampigisha misele ndio maana unaona anauliza maswali mengi kuhusiana na ndoa lol!!!:dance::dance:Partner leo umetupania nini wanandoa uko quiet mpaka nahisi umepanga bomu...
Amen...1. Nilikubali kuolewa sababu nilimpenda/alinipenda pia
2. Mambo yalikuwa kama nilivyomuomba mungu na Mshukuru kwa hilo
3. Kwa kweli namshukuru Mungu kila siku tena SANA, maana kuna hata wadogo zangu nawaona wanavyoteseka kwa ndoa
4. Kwa sababu sijajuta, nikipata nafasi ya kurudi nyuma sitabadili chochote.
Lizzy ndoa ni jinsi inavyoipeleka wewe, ndo mana mimi siwezi kumtisha mtu kuingia kwenye ndoa hata siku moja na
wala ndoa sio mzigo. Wakuiharibu ni mwenye ndoa wenyewe.
Kuna jamaa anampigisha misele ndio maana unaona anauliza maswali mengi kuhusiana na ndoa lol!!!:dance::dance: