Kule kugumu Jombaa. Mheshimiwa akomae na raia kwanzaKule ambako hatuombagi lifti ni vinara
VETA bado wako wengi sana. Vyuo vilivyotembelewa na NECTA havizidi 7 kama sikosei, na vipo zaidi ya 25 Tanzania nzima. Kuna kanda 8 pia na ofisi za makao makuu ambazo zote watumishi wake hawajaonekana kwenye ripoti inayoonesha status ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma kwa taasisi za umma. Wahanga waliomo humo tunawafahamu na bado wanapeta wakati ndugu zetu wamesharudi vijijini kulimaTulikagua majeshi yote hakuna aliyefoji.
Wakuu Wa mikoa na Wilaya halikuwahusu
Bungeni tuliogopa wangekomaa na serikali maana wengi ni vihiyo.
Labda unikumbushe nilikosahau has a TISS. Huku usihoji tutakukuta mabwepande.
Walimu na manesi pamoja na watendaji Wa Kata na vijiji hawana madhara ndoo tuliokomaa nao.
Mkuu ni jukumu la HR husika kupeleka majina kuhakikiwa kuna muda utafika kama haujahakikiwa mshahara unafungiwa au HR husika atachukuliwa hatuaVETA bado wako wengi sana. Vyuo vilivyotembelewa na NECTA havizidi 7 kama sikosei, na vipo zaidi ya 25 Tanzania nzima. Kuna kanda 8 pia na ofisi za makao makuu ambazo zote watumishi wake hawajaonekana kwenye ripoti inayoonesha status ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma kwa taasisi za umma. Wahanga waliomo humo tunawafahamu na bado wanapeta wakati ndugu zetu wamesharudi vijijini kulima
Hili zoezi limefanyika kwa mapungufu mengi sana. Hofu kwa wafanyakazi ambao hawajahakikiwa ni mishahara yao kuja kuzuiwa siku za usoni ambapo itawapa usumbufu wale wasio na hatiaUhakiki uliopita haukua makini,kuna baadhi ya watu wameachwa hadi wenzao ambao waliingia nao kwakutumia vyeti feki nakuondolewa,wameshangaa wenzao wamebaki kwa vigezo vipi.. sasa haieleweki kama maafisa utumishi nao wanakula pesa au laa.. mimi nakumbuka nilikua napigiwa simu na walimu pamoja na manesi wengi wakiuliza niangalie majina,naangalia nayakuta ya baadhi yao tu sio wote.
Ni kweli ma HR wengi hawajui kazi zao na ndiyo hapo itakuja kuwacostMkuu ni jukumu la HR husika kupeleka majina kuhakikiwa kuna muda utafika kama haujahakikiwa mshahara unafungiwa au HR husika atachukuliwa hatua