Sidhani kama@arovera ni ke....unamkoseaChupa moja nikeshe nayo mkuu labda kwakua wewe ni mtoto wa kike
Mkuu Sisi wengine hua tunapewa opportunity ya kutoa majina kwny mifugo kama mbwa,ng'ombe Basi 😄😄Hongera zake.
Mkuu ukishakunywa hii cocktail si huwa inahamia kule chini??Nzuri sana ukichanganya na zanzi

Wazambuli mtaani..Nani alikuwa anachakachua?wao wenyewe?
48hrsBonge ya kinywaji ukichanganya na zanzi au amarula.
Out of topic: hivi mtu akimaliza dose anatakiwa kukaa siku ngapi anywe pombe? Nishapata hamu halafu siku ya 5 hii tangu nimalize madawa kibao
Nipe jina zuri la MbwaMkuu Sisi wengine hua tunapewa opportunity ya kutoa majina kwny mifugo kama mbwa,ng'ombe Basi 😄😄
Hapana kawaida tu😅Mkuu ukishakunywa hii cocktail si huwa inahamia kule chini??![]()
Sisi old-schools majina tulikua tunawapa ya kigumu gumu i.e Simba,Chui,Tiger,Fighter etc.Nipe jina zuri la Mbwa
Utamwitaje mbwa Simba? Au chui?Sisi old-schools majina tulikua tunawapa ya kigumu gumu i.e Simba,Chui,Tiger,Fighter etc.
Sasa siku hizi majina yanakua laini laini laini utasikia Clifford,Sage,Cooper etc
Ndio yalikua majina yetu hayo na hata Sasa majina hayo yanaendelea,na waliitwa hivyo ili ku-Potray nguvu/ubabe alionao Simba na wanyama wengine wa porini.Utamwitaje mbwa Simba? Au chui?
Imekaa kiajabu ajabu.
Manunu wa Wema SepetuNdio yalikua majina yetu hayo na hata Sasa majina hayo yanaendelea,na waliitwa hivyo ili ku-Potray nguvu/ubabe alionao Simba na wanyama wengine wa porini.
Sasa hivi vimbwa viitwavyo sijui chiwawa hivyo Ni kwa ajili ya kina Kim Kardashian.
😄😄 NaaamManunu wa Wema Sepetu
Ila afadhali majina ya siku hizi kuliko hayo Simba sijui nini.😄😄 Naaam
Hapana hayo majina ya siku hizi hayana masculinity,so girlish.Hayafai aiseeIla afadhali majina ya siku hizi kuliko hayo Simba sijui nini.
Tumefuga mbwa miaka ya 80 bado nilikuwa nashangaa mtu akimpa mbwa wake majina kama hayo.
Kwanini huikubali mkuu?Huwa siikubali hii pombe, inachelewa kupanda
Hainichukui chap kama spirit nyingineKwanini huikubali mkuu?