Uhaba wa pombe aina ya HANSON'S CHOICE mtaani

Uhaba wa pombe aina ya HANSON'S CHOICE mtaani

Sikuwa naijua, siku natafuta ya kuchamganyia muuzaji akaniambia jaribu hii ni nzuri na nikaipenda siku hiyo hiyo. Halafu sikujua kama ni ya TZ
Hicho kinywaji siyo nzuri kwa urembo wako dada
 
Kumbe unaijua au ujiichanganyia amarula ni bonge moja la Cocktail, sawa na Black &white uiwekee coka baridi hapo uko sehemu tulivu pembeni mbavu za mbuzi zimenakshiwa na limao pilipili na chumvi kidogo hapo ushapiga lita moja ya maji , yaanj ukianza saa sita kumi na moja kamili inakua jirani sana.
Chupa moja nikeshe nayo mkuu labda kwakua wewe ni mtoto wa kike
 
Huwa wanaproduce kwa awamu. Na tuliambiwa kbs mzigo utapotea. So wanafyatua huo. So ile size ya zamani itarudi ni mzunguko tu. Henessy pori
 
Huku tunaiita Hennesy pori....ilianza kuchakachuliwa ...demand yake ikashuka..nafkir ndo.sababu kubwa..ila pombe nying za spirit hasa hiz ndogo nq size ya kati zimeadimika sanaa mtaani
 
Huku tunaiita Hennesy pori....ilianza kuchakachuliwa ...demand yake ikashuka..nafkir ndo.sababu kubwa..ila pombe nying za spirit hasa hiz ndogo nq size ya kati zimeadimika sanaa mtaani
Nani alikuwa anachakachua?wao wenyewe?
 
Back
Top Bottom