Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,235
Ndugu wajumbe,
Pombe hii spirit ambayo imejipatia umaarufu mkubwa mtaani kwa siku za karibuni ambapo inazalishwa hapa hapa Tanzania mkoa wa Shinyanga. Wakati watu wakiendelea kufurahia radha murua na kuanza kuzipoteza baadhi ya pombe zingine na baadhi ya spirit za hapa nchini.
Ghafla katika hali ya sintofahamu imepotea, hasa ile size ya mwisho kabisa haipatikani. Hvyo kuleta sintofahamu kwa watumiaji ambao wamepata sintofahamu, na wengne imefikia hatua kujihoji je, ni hii changamoto ya kitaifa ya maji?
Naamini humu wapo either wazalishaji au wadau ambao wanaweza kutuletea majibu ili tupunguze sintofahamu mtaani.