Uhaba wa madarasa mbalali, watoto wasomea mtini

2mbaku

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
316
67
Uhaba wa madarasa mbalali, wanafunzi wakaa madarasa mawili chumba kimoja, aka mzungu wa nne. Wengine wasomea chini ya mwembe. Enzi za mwalimu zinarudi! This is negative development! Shame, miaka 50 ya uhuru. Tafakari,chukua hatua!!
 
Back
Top Bottom