Ugumu wa kuomba msamaha

Ugumu wa kuomba msamaha

Hahahahahaha eminentia na mudawote mmenichekesha sana kwa vituko vyenu!!!
 
Wala hakuna ugumu... ukikosea na ukijua umekosea unaomba msamaha...

Kwa wale ambae wanaokuwa wagumu kuomba msahama inategemea wameletewa vipi hilo jambo...
 
As long as sitoota mkia nikisema...ohhh nisamehe[emoji54]
 
Msamaha ni kitu ambacho chaweza jukufanya hata moyo ulifura bkwa hasira upungue hvyo ni muhimu kuomba msahama hasa wale wa kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom