Amiry mafuzu
New Member
- Jun 14, 2019
- 2
- 0
Habari wakuu nimechaguliwa kwenda kusoma BSc ya COMPUTER SCIENCE lakini nimekuwa nikisikia sikia kwamba kozi hii huwa ni ngumu.
Sasa naombeni wakuu mnisaidie ni ugumu gani upo kwenye kozi hii na vitu gani vya kuzingatia kwenye hii kozi?
Sasa naombeni wakuu mnisaidie ni ugumu gani upo kwenye kozi hii na vitu gani vya kuzingatia kwenye hii kozi?