Hahahahaha PakaJimmy malizia viporo vyote kabisa manake notifications zitakuja kwa speed 120 sasa lol.Aisee, kumbe ndiyo maana leo nimefanya kazi sana, maana Notification za CC hazikuwa zinakonyezakonyeza leo.
Pole sana sweetlady.
Kweli nimeamini husband umenichoka kabisa, huamini kama mkeo naumwa? Na kwanza nilitegemea huu uzi uwe umeanzishwa na wewe daaah, haya bana nashukuru!
Majungu dot com!Hahaaaaaaaaa .................. hapo ndo umenoa kabisa, ukitaka kunichuna lazima unitumie M-PESA kwanza kama wanavyofanyaga sweetlady na Lily Flower
Ahsante sana Nicas Mtei! Mwaaaa
sweetlady kama kawaida yangu nipo njiani nakuja na unga wa ulezi na samli mpendwa nikupikie uji leo.Ama kweli nimeamini kuwa Mungi unanipenda kuliko Lily Flower, ingawaje mie wala sikupendi lol... Afu mambo kama haya ndio yanasababisha ndoa yangu itetereke na ole wako nitonye anipe talaka!
BTW nashukuru sana kaka mpendwa, naomba niwahakikishie kuwa mungu ni mwema manake bado anaendelea kunipigania, leo kidogo nna nafuu japo ya kuokoteza ila naamini vile mmeniweka kwenye maombi yenu mambo yataendelea kuwa mazuri.
sweetlady kama kawaida yangu nipo njiani nakuja na unga wa ulezi na samli mpendwa nikupikie uji leo.
Usijidanganye manake mi nampenda Lily Flower wangu kuliko kiumbe chochote hapa duniani............ mambo nnayofanyiwa na my Lily Flower we huyawezi!....................... mara machicha ya nazi mara sijui nini........ we na haya mambo wapi wakati we ni ni mang'ati?
Amefika PakaJimmy nashukuru! Ubarikiwe sana mpendwa! Wana chit chat nashukuru sana kwa upendo wenu wa dhati, natamani ningeweza kumshukuru kila mmoja kwa nafasi yake ila kiukweli afya bado hainiruhusu, bado napepesuka kama Filipo kalewa viroba... Ongezeni maombi wapendwa Mungu akipenda ntarejea tena kwa kasi , nguvu na ari mpya ila sio kama JK! Mbarikiwe sana sana!(mwaaaaaa to you all except Filipo)Nishamtuma dogo akuletee, kwami hajafika hapo Kwasadala?
Amefika PakaJimmy nashukuru! Ubarikiwe sana mpendwa! Wana chit chat nashukuru sana kwa upendo wenu wa dhati, natamani ningeweza kumshukuru kila mmoja kwa nafasi yake ila kiukweli afya bado hainiruhusu, bado napepesuka kama Filipo kalewa viroba... Ongezeni maombi wapendwa Mungu akipenda ntarejea tena kwa kasi , nguvu na ari mpya ila sio kama JK! Mbarikiwe sana sana!(mwaaaaaa to you all except Filipo)
Naomba nitoe shukrani za kipekee kwa kaka zangu PakaJimmy na LiverpoolFC yaani nyie sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea Mungu awape maisha marefu! Mmejitahidi sana kupokezana kupika uji wa mgonjwa.... Nawapenda sana ndugu zangu nyie! (Special Mwaaaaaaa)...
Mwisho napenda kumwambia Mungi aache majungu manake sio mtaji afu nasisitiza tena acha kujipendekeza manake nampenda my only and lovely husband nitonye! Nakuchukia wewe!
Heeeee! Nuna upasuke Mungi, umesahau ulikuwa unaleta unga then unaondoka? Ukirudi mgonjwa kashiba na mpaka sahivi nna shavu dodo lol, kama sio PakaJimmy na LiverpoolFC mgonjwa ningekondaje? We nuna tu bana.Oh my God! kumbe tulikuwa wengi tunakupikia uji lol! nimebaki nimenuna sasa sweetlady ujue!