Ugua pole Judgement

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,706
Reaction score
974
Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu JT, uwe makini wakati mwingine
 
Ni kweli wadau wangu, tr 12. 10 Friday milango ya saa 9 mchana nikitokea soko la Kirumba kuelekea katikati ya Jiji, nikiwa na usafiri wa Pikipiki ambapo nilikua katika shopping ya manunuzi ya vifaa vya wedding ya binti ya Dadangu (mpwa) aliekua akiolewa J'1 tr 13 .
Tukiwa Uhuru st, maeneo ya Hotel Vizano pikipiki yetu ikagongwa. Mwenzangu admitted Bugando, mie nimeteguka mguu wa kushoto gotini. Kwa ujumla wenu ahsanteni kwa kunitakia kheri, also special thanks to thrade's creater !
 
Hapa natamani nami ningekua Nyamagana stadium whereby mwili wa Kamanda wangu Barlow unaagwa! Muda huu but mguu umekatisha hilo! Rip mzee Barlow umeacha ya kukumbukwa.
 
pole thana Judgement, Mungu ni mwema. kama vipi tutakuzukia pande hzo mida ya jioni. hebu nipm direction!
 
Last edited by a moderator:
Judgement pole sana mkuu, Mungu mwenye neema na rehema, aliyewaponya hata vipofu akuponye haraka, YNNAH asante kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…