Asante, ni hali ya kuwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, hofu, kutopenda kujichanganya na watu, kuogopa, kuona kama dunia imekuelemea na hakuna sababu ya kuishi tena, Hzi ni baadhi ya dalili tu.Pole sana mkuu lakini labda ungefafanua vizuri ili upate msaada kwa mapana zaidi! Hyo sonona ni ugonjwa gani na unakuaje? Huenda wengine wanaufaham kwa jina tofauti na wakawa wanaifaham tiba.
Asante sana.Depression. Pole ila hatua ya kwanza ya kupata tiba ni kujitambua kua wewe ni mgonjwa hasa magonjwa ya akili. Na wewe ni umelitambua hilo. Ungekua huku ninge kusaidia ila dar sifaamu vizuri
Yes nafahamu, ni mambo mengi sanaJe unatambua ni kitu gani kilichokupelekea kupata sonona? Labda tukio la huzuni, trauma, kutendwa, au uraibu (addiction)? n.k?
Sema usaidiwe kuna watu wanajua mambo mengi sana.
Andika hayo mamboo hata kama ni bilioni 600!!! Kwa kufanya hivo utakua unapunguza ugonjwaaa!!!Yes nafahamu, ni mambo mengi sana
Kutopata mtoto, issue za kazi, loneliness n.kAndika hayo mamboo hata kama ni bilioni 600!!! Kwa kufanya hivo utakua unapunguza ugonjwaaa!!!
Asante sana
Asante sanaPole, chukulia ni mapito ya muda tu kisha utafanikiwa kwa wakati,
Mtumaini Mwenyezi Mungu atakujalia !
Lakini endelea kutafuta ufumbuzi
I atoms a na chemical imbalances. Unapokuwa na wasi wasi mwili unazalisha adrenaline ya ziada ili ujilinde na hatari. Hii ulizidi si nzuri katika mfumo wa mwili.Asante sana
Ndio utudokeze sasa ili tukusaidie.Yes nafahamu, ni mambo mengi sana
I atoms a na chemical imbalances. Unapokuwa na wasi wasi mwili unazalisha adrenaline ya ziada ili ujilinde na hatari. Hii ulizidi si nzuri katika mfumo wa mwili.
Ni muhimu kuona na na wataamu wafahamu chanzo na wakufanyie utajiri. Tiba zake huwa ni za muda mrefu.
MuhimbiliHao wataalam wanapatikana wapi?
Hospitali gani?
Mood disorders nyingi zina end up na suicide, angeenda hospital mapemaMuhimbili