Ugonjwa wa sonona

LAKI

Senior Member
Jun 12, 2013
100
37
Hello JF doctors, naombeni msaada kwa anayejua hospitali nzuri DSM ninayoweza kupata daktari mzuri wa sonona! Msaada wenu ni wa muhimu sana kuinusuru afya yangu. Asanteni.
 
Pole sana mkuu lakini labda ungefafanua vizuri ili upate msaada kwa mapana zaidi! Hyo sonona ni ugonjwa gani na unakuaje? Huenda wengine wanaufaham kwa jina tofauti na wakawa wanaifaham tiba.
 
Depression. Pole ila hatua ya kwanza ya kupata tiba ni kujitambua kua wewe ni mgonjwa hasa magonjwa ya akili. Na wewe ni umelitambua hilo. Ungekua huku ninge kusaidia ila dar sifaamu vizuri
 
Pole sana mkuu lakini labda ungefafanua vizuri ili upate msaada kwa mapana zaidi! Hyo sonona ni ugonjwa gani na unakuaje? Huenda wengine wanaufaham kwa jina tofauti na wakawa wanaifaham tiba.
Asante, ni hali ya kuwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, hofu, kutopenda kujichanganya na watu, kuogopa, kuona kama dunia imekuelemea na hakuna sababu ya kuishi tena, Hzi ni baadhi ya dalili tu.
 
Depression. Pole ila hatua ya kwanza ya kupata tiba ni kujitambua kua wewe ni mgonjwa hasa magonjwa ya akili. Na wewe ni umelitambua hilo. Ungekua huku ninge kusaidia ila dar sifaamu vizuri
Asante sana.
 
Je unatambua ni kitu gani kilichokupelekea kupata sonona? Labda tukio la huzuni, trauma, kutendwa, au uraibu (addiction)? n.k?
Sema usaidiwe kuna watu wanajua mambo mengi sana.
 
Je unatambua ni kitu gani kilichokupelekea kupata sonona? Labda tukio la huzuni, trauma, kutendwa, au uraibu (addiction)? n.k?
Sema usaidiwe kuna watu wanajua mambo mengi sana.
Yes nafahamu, ni mambo mengi sana
 
Pole, chukulia ni mapito ya muda tu kisha utafanikiwa kwa wakati,

Mtumaini Mwenyezi Mungu atakujalia !

Lakini endelea kutafuta ufumbuzi
 
Pole sana bro,hiyo ni kawaida sana na hata mm huwa najiuliza sana kwann hiki jaman kinanitokea
 
Asante sana
I atoms a na chemical imbalances. Unapokuwa na wasi wasi mwili unazalisha adrenaline ya ziada ili ujilinde na hatari. Hii ulizidi si nzuri katika mfumo wa mwili.

Ni muhimu kuona na na wataamu wafahamu chanzo na wakufanyie utajiri. Tiba zake huwa ni za muda mrefu.
 
Ushauri:
1. Chukua kalamu na plain paper.
2. List hizo factors ambazo unahisi zimekuletea sonona...zote
Kwa kulist zote ni 60% ya solution
3. Inyumbue kila moja kwa mapana, jinsi ilivyokuletea sonona(hapa utakuwa unazama kwenye tafakari ya kina)
4. Pendekeza solution wewe mwenyewe kwa kila moja
5. Weka list of preference ya jinsi utakavyoanza kuzifanyia kazi.
6. Jijengee kusudio la kuacha/kubadili mwenendo wa maisha ili ufuatane na solution uliyojiwekea.

NB: Kama unajichuwa, achana kabisa na hiyo mambo, ndio chanzo kikubwa cha Sonona kwa rika lenu vijana
 
I atoms a na chemical imbalances. Unapokuwa na wasi wasi mwili unazalisha adrenaline ya ziada ili ujilinde na hatari. Hii ulizidi si nzuri katika mfumo wa mwili.

Ni muhimu kuona na na wataamu wafahamu chanzo na wakufanyie utajiri. Tiba zake huwa ni za muda mrefu.

Hao wataalam wanapatikana wapi?

Hospitali gani?
 
Back
Top Bottom