Wapi ni bora kwa tiba ya Macho kati ya CCBRT na Muhimbili?

mwaega

Senior Member
Sep 22, 2013
188
254
Naombeni msaada nimekuwa nikihangaika sana na macho yangu kwa miaka 10 sasa lakini sioni nafuu.

Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kutibiwa macho hospitali hizo mbili nataka nitibiwe moja wapo ambayo itakua bora zaidi.

Asanteni.
images.jpg
 
Naombeni msaada nimekuwa nikihangaika sana na macho yangu kwa miaka 10 sasa lakn sioni nafuu

Naomba kuuliza kama kunamtu ameshawahi kutibiwa macho hosp hizo mbili nataka nitibiwe moja wapo ambayo itakua bora zaidi. AsanteniView attachment 2877245
Nenda Hospitali ya Mvumi DCT ipo Dodoma.Hiyo ndio the best na uzoefu mkubwa kwa matibabu ya matatizo/magonjwa ya macho kwa hapa Tanzania
 
Naombeni msaada nimekuwa nikihangaika sana na macho yangu kwa miaka 10 sasa lakini sioni nafuu.

Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kutibiwa macho hospitali hizo mbili nataka nitibiwe moja wapo ambayo itakua bora zaidi.

Asanteni.
Aisee hospitali zote za macho kubwa hapa tz nimeenda. Kama hutojali nicheki labda nikuelekeze 0745090905
 
Nenda Eye International Clinic wako vizuri sana ila bei za kizungu ujipange

Nenda Eye International Clinic wako vizuri sana ila bei za kizungu ujipange

Nimeona uzi asante sana, hii hosp ipo maeneo gani? Hawatumii bima? Maana nina ka NHIF kangu
 
Nimeona uzi asante sana, hii hosp ipo maeneo gani? Hawatumii bima? Maana nina ka NHIF kangu
Wapo victoria karibu na jengo la Tigo, NHIF acceptable lakini issue za oparesheni NHIF inacover half then nyingine unalipa mwenyewe.

Fika Kwanza mengine utayajuwa hapohapo kuna madaktari Waturuki wapo vizuri.
 
Karibu na Vodacom sio Tigo...
 
Weka details humu kwa faida ya wengi avha ubinafsi mkuu
Kwanza sina ubinafsi wa aina yoyote . Sio kila muda mtu anaweza akaandika details za kutosha humu.

Hizo hospital nimepita nikihangaika na mtoto wangu shida za macho, mpaka sasa nafanya clinic muhimbili.

Sikua na muda wa kuandika hizo taarifa na siwezi kueleza kila hospital
 
Back
Top Bottom