Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,441
Asante, ni hali ya kuwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, hofu, kutopenda kujichanganya na watu, kuogopa, kuona kama dunia imekuelemea na hakuna sababu ya kuishi tena, Hzi ni baadhi ya dalili tu.
Amua kujipenda kwanza,
Amua kujipenda wewe,
Amua kujisamehe,
Amua kujihurumia,
Amua kujihudumia,
Amua ni kujifariji,
Amua kuanza upya.