Ugonjwa wa kujikuna wa hivi karibuni usio wa kawaida je umekupata?

Hili tatizo na mimi linanisumbua sanaaa ni zaidi ya mwezi sasa wakuu tupeni dawa tafadhali
 
Jamani ndugu zangu ugonjwa huo ni scabies. Nina mdogo wangu alikuja nao ukamsumbua kuenda Agha Khan akapata dawa haraka.

Inavosemekana kuna outbreak ya scabies nchini. Lakini nashindwa kuelewa kwanini wizara haifatilii na kuelimisha watu vizuri.

Ugonjwa huu inaambukizwa kwa kugusana tu.

Dawa yake ni Scaboma cream, au Benzyl benzoate lotion. Unapaka mara moja tu na inabidi ufue nguo zote Yani usafi full kwa mavazi yako, mito, godoro makochi kuua mayai ya awa vijidudu

Poleni ndugu zangu
 
Back
Top Bottom