JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,012
Kumekuwepo kilio cha muda mrefu toka kwa wadau juu ya ugonjwa huu na wengi wakitaka kupata majibu ya nini cha kufanya endapo wana maambukizi ya Hepatitis.
Tumeonelea vema tuwe na mjadala juu yake ili kuwasaidia wenye uhitaji.
======
Cases:
Feb 2010:
USHUHUDA WA KUPONA => Nimepona Homa ya INI(Hepatitis B)
Tumeonelea vema tuwe na mjadala juu yake ili kuwasaidia wenye uhitaji.
======
Cases:
Feb 2010:
Sept 2012:Hello wana JF,
Naomba kuuliza, nini hasa dawa ya hepatitis B, au homa ya ini? na inasababishwa na nini,
Thanks,
August 2013:Habari wakuu. Naomba mwenye kufahamu hospitali jijini DSM yenye daktari mzuri wa magonjwa ya homa ya ini anijuze hapa au kwa PM. Itakuwa poa kama utanijulisha jina na contact ya daktari husika thanks.
May 2014:Habari wana JF
Nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na ugonjwa huu na imefikia hatua ya chronic na mwanzo alikuwa na virus wengi sana na amepatiwa treatment kwa about 1 and half year now wamepungua sana to almost none na bado anapokea treatment. Hivi hakuna permanent treatment kwa huu ugonjwa?
Wanojua naomba mnijuze tafadhali.
Naomben mnisaidie wanajamvi,
Tangu mwaka 2007 niligundulika kua na homa ya ini (Hepatitis B) lakini sikufatilia kujua matibabu yake. Ilipofika mwezi wa kwanza mwaka huu tulimpoteza shemeji yetu kwa ugonjwa huu.
Niliogopa sana na nikaenda kupima tena. Madaktari wakasema ini langu bado halijaanza kuathirika.
Wanajamvi, kwa anaefahamu ni vyakula gani nile au vitu gani nifanye ili ini langu lisiathirike naomba anisaidie.
USHUHUDA WA KUPONA => Nimepona Homa ya INI(Hepatitis B)