Ndo namimi nahitaj kujua kwa sababu dalili huwa kama hizoNgoja tusubiri. Ila kumbe ndicho kinamsumbua
Ndalili sikuwai kuzijua.nilidhAni hiyo kitu inakuchukua kimya kimya kama ngomaNdo nam naitaj kujua kwa sababu huw ndo dalil kama izo
Kwaio anaweza kua ana iyo HBVInasababishwa na Hepatitis B Virus (HBV) ambao huingia mwilini kwa njia sawa na maambukizi ya HIV
Uliuliza HBV ni ugonjwa gani nimekujibu. Mengine muulize daktari wake.Kwaio anaweza kua ana iyo HBV
Zipo huku kwetu kuna Hospital binafsi ya misheni walitoa kipindi flani.Hiyo hutolewa kwa watoto wachanga waliozaliwa kizazi hiki in pentavalent vaccine. Sisi tuliozaliwa enzi hizo mpaka uwe unaenda nje. Serikali yetu ya washkaji bado haijaona umuhimu wa kutoa kwa kila mtu
Ulipata msaada mkuu?kama kichwa cha habari kilivyojieleza, kaka yangu amepimwa amekutwa na ugonjwa wa hepatitis b.
Naomba msaada kwa mwenye kujua tiba yake na nini cha kufanya maana tumechanganyikiwa sana wakuu.
OKOA JAHAZI TAFADHARI
Nenda mnazi mmoja hospital wanatoaChanjo yake inapatikana wapi & ni bei gani??
Sawa. Bei je?Nenda mnazi mmoja hospital wanatoa
15 PER DOSE na unachoma mara 3Sawa. Bei je?