DRIVE
Senior Member
- Aug 14, 2014
- 145
- 111
Yuko sahihi nduguARV??? Umehakikisha kuwa ana HIV infection huyo mgonjwa?, kasema kaka yake amekutwa na hepatitis.....unaweza ukapata hepatitis bila hata ya kuwa muathirika, ingekuwa vyema kumshauri apimwe na HIV lakini sio kwenda kwenye conclusion kuwa aanze ARV....tujitahidi kuwajibu watu maswali na kutatua shida zao za kiafya kitaalamu.
Kama imeshakua chronic ataanzishiwa ARVs wala haina njia nyingine zaid ya hiyo oky ni vizuri watu wapate kinga za magonjwa haya ni muhimu kwao