Iv antigen ni miguu ya virus!!?? Ok ila ume jitahd ku elezea!!!Pole ndugu kwa kuuguliwa.. Huo ugonjwa kiukweli unatisha but kuna neema ya MUNGU pia. Ntakueleza kidogo kwa uelewa na elimu niliyopewa na wataalamu.
Huo ugonjwa ni ugonjwa unaoshambulia Cell ktk INI.
Ni ugonjwa unaosababishwa na kugusana na majimaji na mtu anaeumwa huo ugonjwa. Yawezekana kujamiina, mate nk.
Sijajua ndugu yako alipima kipimo gani, ila kuna kipimo cha awali (HbsAg) ambacho hiki kinaweza kuonesha unao ugonjwa huo. Lakini kumbe ugonjwa ulipoingia ukakutana na kinga ya mwili ipo vizuri, ikapigana na hicho kirusi na kukiua so kinapokufa inachukua muda kutoka nje ya INI ndomana ukipima hicho kipimo unaweza ambiwa unayo kumbe kilishauliwa na kinga ya mwili.!
NOTE : HbsAg hiki hupima viashiria vya uwepo wa kirusi. Na (Ag) inamaanisha Antigen. Hii ni miguu ya kirusi. So hatakama mwili/kiini cha kirusi kikiuliwa na kinga ya mwili hii miguu (Antigen) inachelewa kuondoka ktk ini ndo mana ukipimwa unaambiwa unaugonjwa.
So ukishapimwa kipimo hicho kuna kipimo ambacho hiki kinathitisha kuwa kuwa kweli kirusi kipo na kinashambulia INI so ugonjwa anahitaji tiba. Kipimo hiki kinapima uwepo wa kirusi kamili
*Hb e Ag
*Hb core Ag
Baada ya kupima vipimo hivyo ndo itathibitisha hali ya mgonjwa je amefikia stage ya yeye kuambukiza wengine au lah..Inasemekana mgonjwa akishafikia stage hii ya kuambukiza mwingine huwa kupona ni ngumu kwani cell zake ktk INI zinakuwa zimesha shambuliwa sana na mwisho zinapelekea cancer ya INI.
TIBA
Kuhusu matibabu ikishafikia stage ya kuambukiza wengine ni ngumu kupata tiba ya moja kwa moja. Japo kuwa huku mwanzoni wanasema ukitumia maji ya dafu na juice ya miwa inasaidia sana
Zaidi zaidi fatilieni zaidi kwa wataalamu hospitals
ZINGATIA: Huu ugonjwa ni hatari mno na wengi tupo ktk hatari ya kuupata. Kibaya zaidi dalilizake huanza kuonekana wakati ambao umeshakushambulia mno na upo ktk nyakati za mwisho. So tunapaswa kuchukua tahadhari kubwa sana coz ni rahisi kuambukizwa huu ugonjwa kuliko Ukimwi
PREVALENCE OF HEPATITIS B, BY SEX, AGE, AND HIV STATUSARV??? Umehakikisha kuwa ana HIV infection huyo mgonjwa?, kasema kaka yake amekutwa na hepatitis.....unaweza ukapata hepatitis bila hata ya kuwa muathirika, ingekuwa vyema kumshauri apimwe na HIV lakini sio kwenda kwenye conclusion kuwa aanze ARV....tujitahidi kuwajibu watu maswali na kutatua shida zao za kiafya kitaalamu.
Hapa Na me ndo napopata mashaka naona tumekuwa wepesi watisha wagonjwa wengi hufa sababu ya hizi pressure wanazopatiwa humu Nina ndugu yangu anahoma ya manjano tangu akiwa mdogo(naomba niseme napata ukakasi kwenye njia za maambukizi ya huu ugonjwa) jamaa yupo mpaka Leo sema kuna wakati Huwa unamsumbua kidogo lakini now mi naenda 28 namuona jamaa anadunda tu Na afya tele Sasa sijui tatizo ni nini labda wajuzi mtujuze zaidi visababishi vya huu ugonjwaEbana huo ugonjwa wa manjano nakumbuka nilivokua mdogo wa umri km miaka 9 au 8 niliugua kipindi hiko tuko iringa nikawa nachomwa sindano za masaa napewa sana maji ya miwa na madafu nakumbuka nikiambiwa nikanyage takataka za miwa kwa unayo nashkuru nimepona sijaugua tena sijui pengine unatulia tu au nimepona sshv Nina umri wa miaka 30
Homa ya manjano na hepatitis ni vitu 2 tofauti kaka hepatitis huleta unjano wa macho, ngozi, na kucha ambao kitaalam huitwa jaundice. Homa ya manjano hutibika lakn hepatitis yenyeww ina chanjo.!Hapa Na me ndo napopata mashaka naona tumekuwa wepesi watisha wagonjwa wengi hufa sababu ya hizi pressure wanazopatiwa humu Nina ndugu yangu anahoma ya manjano tangu akiwa mdogo(naomba niseme napata ukakasi kwenye njia za maambukizi ya huu ugonjwa) jamaa yupo mpaka Leo sema kuna wakati Huwa unamsumbua kidogo lakini now mi naenda 28 namuona jamaa anadunda tu Na afya tele Sasa sijui tatizo ni nini labda wajuzi mtujuze zaidi visababishi vya huu ugonjwa
Ooh apo sawa mkuu mana kuna link imetumwa apo juu wamesema homa ya manjano ndo hepatitis bHoma ya manjano na hepatitis ni vitu 2 tofauti kaka hepatitis huleta unjano wa macho, ngozi, na kucha ambao kitaalam huitwa jaundice. Homa ya manjano hutibika lakn hepatitis yenyeww ina chanjo.!
Wana chit chat hao ndo wanao leta mabango ya upotoshaji. Hivyo ni vitu tofauti kabsa yellow fever ina hambukizwa na MBU, wakati HEPATITIS ina henezwa kwa kiss( mate) , body fluid kama sperm, ute uke, CSF. Pia jacho kwnye kukumbatiana, sex, pia kushika damu ya mu hathirika!!Ooh apo sawa mkuu mana kuna link imetumwa apo juu wamesema homa ya manjano ndo hepatitis b
Hepatic abscess?
Hepatitis?
Liver cirrhosis?
Hepatic failure?
Hepatoma?
Hepatocellular carcinoma?
ni Yesu Mkuu. kwa kupigwa kwake sisi tumepona, alijeruhiwa kwa makosa yetu alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake na kwa kupigwa kwake sisi tumeponaaaaaaa! Pokea uponyaji kwa Jina la Yesu kristo.
Ebana huo ugonjwa wa manjano nakumbuka nilivokua mdogo wa umri km miaka 9 au 8 niliugua kipindi hiko tuko iringa nikawa nachomwa sindano za masaa napewa sana maji ya miwa na madafu nakumbuka nikiambiwa nikanyage takataka za miwa kwa unayo nashkuru nimepona sijaugua tena sijui pengine unatulia tu au nimepona sshv Nina umri wa miaka 30
Kwa sababu tu-wamasikiniKusini ya Jangwa la Sahara ndiyo Uwanja wao mkubwa wa majaribio na matumizi ya madawa yao.
Chungeni sana , za kuambiwa hizi.