Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Ndugu wana
Jf D
Napenda kujua zaidi kwa wale waliomfatilia mwanamziki
Hawa 'ntareje' ugonjwa anaoumwa wa ini .

Kwa jinsi tumbo lilivojaa vile ndo ule ugonjwa wa homa ya ini 'herpatit B'

Kwa wanaojua naomba tujuzane apa mana nauliza hivi nina maana angu.
Ni hayo tu.
 
Hiyo hutolewa kwa watoto wachanga waliozaliwa kizazi hiki in pentavalent vaccine. Sisi tuliozaliwa enzi hizo mpaka uwe unaenda nje. Serikali yetu ya washkaji bado haijaona umuhimu wa kutoa kwa kila mtu
Zipo huku kwetu kuna Hospital binafsi ya misheni walitoa kipindi flani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom