Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
yaan sijui hata tutaishje kutokana na hali hii
Mgonjwa mmoja ambaye n mtoto amebainika kuwa na dariri zote za ugonjwa wa ebora katka hosp ya s.toure na kupelekwa bugando ambapo hata hivyo insemekana amerudishwa kupata sehemu maarumu ya kumuhifadhi ikiwa n pamoja na kuweka mahema sehemu
Du chadema ni hatari sana kimehamia kwenye maradhi baada ya migomo kugonga ukuta!!!!!
upo sahihi mkuu bcoz pale wanapowaweka ni sehemu yenye shuguli nyingi na watu wengi hukusanyika kufanya biashara hivyo ni rahisi zaidi kusambaaakuweka wagonjwa wa ugonjwa wa hatari unaoambukiza kirahisi kama huu katikati ya mji ni hatari sana.
Ziwa linahusika kwa maana ya kwamba kuwepo na kisiwa maalum chenye "colony" la kuwaweka wagonjwa wote wa ebola wa kanda hii, ili kusudi kupunguza maambukizi, kwamba mtu mpaka kukutana nao ni kwamba umeenda kwenye kisiwa hiki kwa shughuli mahsusi mostly kama ni mganga uliyevaa special gear.
Hapo ndipo ziwa linapohusika kwa sababu ni natural barrier.
mfumuko wa bei unatuua
malaria ndo usiseme
sasa ebola imevuka ziwa inakuja huku bara
malawi vita in waiting.
Twafaaaaaaaaaaaaaa na raisi katoka uganda, kaunganisha ghana. Akirudi sijui msata?
ee mungu turehemu. Badala ya kuingia vitani na malawi, hebu vita na ugonjwa huu itangazwe mara moja.
Mgonjwa mmoja ambaye ni mtoto amebainika kuwa na dalili zote za ugonjwa wa ebora katika hospitali ya Sokotoure na kupelekwa Bugando ambapo hata hivyo imesemekana amerudishwa kupata sehemu maalumu ya kumuhifadhi ikiwa ni pamoja na kuweka mahema sehemu.
sadakta kijanaKila mja hufa kwa siku zake.
TAHADHARI: tusije tukahusianisha ebola na mgomo wa madaktari.[ina maana mgomo ndio unasababisha ugojwa wa ebola?
TAHADHARI: tusije tukahusianisha ebola na mgomo wa madaktari.[ina maana mgomo ndio unasababisha ugojwa wa ebola?
Hata mbuyu iliota kama..................!!
TUCHUKUE TAHADHARI MAPEMA JAMANI!