Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 5,951
- 23,275
Hapana hapana hapana mkuu..ni ugonjwa hatari na hauna uhusiano na Hali ya hewa.Mimi imenisunvua kuanzia mwezi wa sita Hadi sasa ndy napona tena nimeenda hospitali mara mbiliMbadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi
Tumia B B E unapaka mara moja kwa siku hasa asubuhi mpaka kesho asubuhi usioge jioni, kwa utaalamu zaidi nenda kwa dakitari.Hapana hapana hapana mkuu..ni ugonjwa hatari na hauna uhusiano na Hali ya hewa.Mimi imenisunvua kuanzia mwezi wa sita Hadi sasa ndy napona tena nimeenda hospitali mara mbili...
Manadiliko eehItakua maji na manadiliko ya hali ya hewa. Dogo pia amepata vipele
Umekumba katika mkoa gani kiongozi?Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote
Chanzo ni nini?
Na tiba je?
dawa ulizoandikiwa zinaitwajeHapana hapana hapana mkuu..ni ugonjwa hatari na hauna uhusiano na Hali ya hewa.Mimi imenisunvua kuanzia mwezi wa sita Hadi sasa ndy napona tena nimeenda hospitali mara mbili...
Hahahaa pole mkuuMimi umenitokea kwenye pumbu, vinawasha hivyo!!
Mostly dar Na DodomaUmekumba katika mkoa gani kiongozi?
Mie hivohivo.View attachment 1935856
Vilinitokea mwezi wa 6, nilihangaika kweli, nimeenda hosp 3, hola.
Nikaja kupona na Calamine lotion, pamoja na shampoo flani nimesahau jina...
Mie nkila samaki nyama lazima viibukeHiyo hali sio poa. Mwezi uliopita imenipata sana.
Nimekwenda hosp daktari kasema ni fungus. Nimekunywa dawa bado hali hiyo inatokea...
Sasa hivi nipo job.Ngoja nikifika home jioni nitapiga picha nikutumiedawa ulizoandikiwa zinaitwaje
Ahahah🤣 nacheka km mazuri..mkuu Mimi nimetoka hospitali wiki mbili zilizopita nikapewa dozi ya maanaMimi umenitokea kwenye pumbu, vinawasha hivyo!!😫😫😫
Halafu mimi vilitoka sehemu za ndani, na mikononi, ila nilikuwa nikivaa shati la mikono mirefu haionyeshi.Mie hivohivo.
Tangu April ndo vilianza kama utani.now bado nahangaika
Ni aibu
Hiyo hali sio poa. Mwezi uliopita imenipata sana.
Nimekwenda hosp daktari kasema ni fungus. Nimekunywa dawa bado hali hiyo inatokea.
Nikimeza certizen inatulia.
Nikinywa maji mengi ya kutosha na matunda matunda inapungua.
nikila vyakula vya mafuta mafuta na nyama inazidi.
Ngoja nibadili maji ya kuoga pia nione maana karibuni nimefunga huduma mpya ya maji.
Eeh, vinatishaaView attachment 1935856
Vilinitokea mwezi wa 6, nilihangaika kweli, nimeenda hosp 3, hola.
Nikaja kupona na Calamine lotion, pamoja na shampoo flani nimesahau jina.
Nilichoma had sindano tukijua ni infection,
Na kilianza kipele kimoja mgongoni, vikawa vinaongezeka kilasiku.
Kuhusu kuambukiza sidhani, nilikuwa na lala na wife hata hajapata.
Picha 1. Wakati vinaisha vinapona
Picha 2. Wakati vimepamba moto
Hahaha ila huyu wetu havijawa hv. Anajikuna kuna tu. Hivi vinatisha aisee. Ama kwakua tunachemsha maji ya kuoga sana?Huyo Dogo yeye ni rahisi kumponya, mtumbukize kwenye maikrowevu washa kipimo cha kati juu, kwisha habari yake.
Eti nimecheka mwenyewe.