Ugonjwa hatari wa ISLAMOPHOBIA


Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Messages
881
Likes
31
Points
45
Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2008
881 31 45
Islamophobia ni ugonjwa hatari sana. Ugonjwa huko siku nyingi sana ila kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa ukikua kwa kasi ya ajabu sana. Aliyeathiriwa na ugonjwa huu huwa anaogopa UISLAM na vitu vyote vinavyohusiana na UISLAM. Mfano, mtu anayeumwa ISLAMOPHOBIA akiona mtu amevaa kofia ama kanzu ama hijabu, mtu huyu huwa anaogopa sana na huwa anateseka sana katika nafsi yake. Au mgonjwa wa islamophobia akisikia kuwa waislam wanataka kuanzisha mahakama ya kazi basi yee huwa hapendi na maumivu humsonga moyoni mwake.
Wagonjwa wa islamophobia huwa hawapendi kuona uislam ukienda mbele ama sharia za kiislam zikifuatwa.
Mengi kuhusu ugonjwa wa ISLAMOPHOBIA soma hapa:

1. Islamophobia - Wikipedia, the free encyclopedia (kiswahili soma hapa: Google Tafsiri)

2. Islamophobia: making Muslims the enemy - Google Books

3. Google Tafsiri

4. Islamophobia

5. Google Tafsiri

6. Google Tafsiri

7. Islamophobia: making Muslims the enemy - Google Books

8. Islamophobia

 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,821
Likes
5,416
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,821 5,416 280
islamophobia ni ugonjwa hatari sana. Ugonjwa huko siku nyingi sana ila kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa ukikua kwa kasi ya ajabu sana. Aliyeathiriwa na ugonjwa huu huwa anaogopa uislam na vitu vyote vinavyohusiana na uislam. Mfano, mtu anayeumwa islamophobia akiona mtu amevaa kofia ama kanzu ama hijabu, mtu huyu huwa anaogopa sana na huwa anateseka sana katika nafsi yake. Au mgonjwa wa islamophobia akisikia kuwa waislam wanataka kuanzisha mahakama ya kazi basi yee huwa hapendi na maumivu humsonga moyoni mwake.
Wagonjwa wa islamophobia huwa hawapendi kuona uislam ukienda mbele ama sharia za kiislam zikifuatwa.
Mengi kuhusu ugonjwa wa islamophobia soma hapa:

1. islamophobia - wikipedia, the free encyclopedia (kiswahili soma hapa: google tafsiri)

2. islamophobia: Making muslims the enemy - google books

3. google tafsiri

4. islamophobia

5. google tafsiri

6. google tafsiri

7. islamophobia: Making muslims the enemy - google books

8. islamophobia

anayependa uislamu ni muislamu mwenyewe......................ni kama vile aipendaye kenya zaidi ni mkenya mwenyewe
 
Mutensa

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Messages
426
Likes
14
Points
35
Mutensa

Mutensa

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2009
426 14 35
Huu si ugonjwa. Lete topic zante tija zaidi mkuu. Kuna mambo Mengi ya kutupeleka mbele zaidi kifikra.
 
RAJ PATEL JR

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
744
Likes
1
Points
0
RAJ PATEL JR

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
744 1 0
The enemy of Islam are the muslims themselves with their hypocrisies!
 
Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Messages
881
Likes
31
Points
45
Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2008
881 31 45
The enemy of Islam are the muslims themselves with their hypocrisies!
Before giving any comments, I am advising you go through the given links and read/study carefu, you will see the truth.anayependa uislamu ni muislamu mwenyewe......................ni kama vile aipendaye kenya zaidi ni mkenya mwenyewe
Anayechukia uislam ni nani??!!
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Post zingine ziko kishari shari tu!
 
Mpevu

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
1,813
Likes
6
Points
0
Mpevu

Mpevu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
1,813 6 0
anayependa uislamu ni muislamu mwenyewe......................ni kama vile aipendaye kenya zaidi ni mkenya mwenyewe
hii si nzuri humu JF kujadilika,
hebu pitia (alislam.org) na soma yaliyomo, ni religious propagations hizi na tusifikie huko
 
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
2,641
Likes
8
Points
135
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
2,641 8 135
Naona mnajiingiza kichwa kichwa!
 
RAJ PATEL JR

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
744
Likes
1
Points
0
RAJ PATEL JR

RAJ PATEL JR

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
744 1 0
The Janjaweed militias in Darfur have been killing and gang-raping the black Sudanese (who ironically happen to be muslims too). They torch their villages and commit all unimaginable war attrocities.
Have you ever heard any muslims in Africa and Tanzania in particular (BAKWATA) organize demonstrations to condemn these serious rape, and murder acts commited by the Janjaweed?
When Israel invades or kills the Palestines, my fellow muslim friends would be whinning all day and hold demonstrations all over the world including here in DAR. Where are you when your fellow muslims are being raped or killed?
Are the muslims, particularly the Tanzanian muslims, have double standards? Or are you just brainwashed by the Arabs? Remember those who are killed in Darfur are African muslims, and Arabs don't care because they are blacks!
An enemy of Islam is a muslim himself. Period!!!!!!
Shame on you Tanzanian Muslims for your mental zap.
Shame on you for being brainwashed by the Arabs with their petro$$
Shame on you for being ignorant:embarrassed:
 
F

Fblukuwi

Senior Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
131
Likes
0
Points
33
F

Fblukuwi

Senior Member
Joined Dec 8, 2010
131 0 33
actually baadhi ya mambo watu wengine wana sababu ya kuyaogopa. Kwa mfano nchi nyingi za kiislam sio stable! yaani kwao kujilipua sio ishu kabisa. Sasa nchi kama Pakstani wanapojilipua sokoni kwa waislam wenzao kisa madhehebu unatarajia asiye muislam atajisikia salama?
Ushauri wangu waislam wenyewe wachukue hatua ya kuishi vema na wenzao kwa upendo bila vitisho au jazba.
Kuhusu Kadhi hiyo siyo ishu ila huyo kadhi kwanza mumlipe nyie wenyewe bila msaada wa serikali. Pia huyo kadhi sijui atafanyaje kazi za NDOA na mirathi bila kuwagusa watu wengine. Kwa mfano mimi nina mke mwislam lakini wanangu ni wakristo na mke wangu ana mali nyingi tu, Je kwa bahati mbaya anafariki mali zake watoto wangu watazipataje chini ya kadhi endapo mali za mwislam kwa mujibu wa kadhi ni za waislam tu!!!
 
S

seniorita

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
674
Likes
4
Points
0
S

seniorita

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
674 4 0
Anyone who knows Islam well definitely will know that violence is pervasive in the name of this religion. People who practice violence are the ones with phobia, that is those fanatic moslems, not anyone else!!!! A wicked person has no peace....so cut the crap and live withyour phobia and dont try to impose on others, we only FEAR (WORSHIP) the true God....hayatuhusu hayo wewe, kaa na phobos yake
 

Forum statistics

Threads 1,235,727
Members 474,712
Posts 29,232,567