Ugomvi wa palestina na israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.

G_real

JF-Expert Member
Aug 23, 2019
684
851
Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababishaugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru.

Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.

Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo."

Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina.

Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia.

Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa.

Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30.

Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo.
Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu.

Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution.
That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept.

It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho.
Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu.

Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote.

Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote.
Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia.

Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu.

Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa.

Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake.

Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli.

Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka.

Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria .
Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama.

Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo.

Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja.

Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea.

Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195).
 
Mzee baba umeenda upande kinoma,
Kumbuka Israel au Yakobo ni mtoto wa Isaka na Isaka alikuwa na kaka yake Ismail ambao wote baba yao alikuwa Abrahamu. Yakobo ndiye aliyezaliwa na pacha wake ambaye ni Esau lakini WA Palestina ni watoto wa Ismail, kwa hiyo Israel na Palestina sio mapacha bali wana relation ambayo inaunganishwa na Abraham.

Maoni yangu,
WA Palestina ndio wavamizi wa nchi ya ahadi kwa Yakobo, hawana haki ya kukalia nchi hiyo, ni kweli Mungu aliahidi kumpa Abrahamu nchi yote kuanzia mto frati hadi kijito cha Misri lakini nchi ya Yakobo ilikuwa sehemu ya magharibi ya mto Yordani na kipande kidogo cha Mashariki.

Wapalestina wana point gani kukalia nchi ya watu?

Naomba kukosolewa....
 
Hapa kutamu kwenye vitabu vya mwenyezi mungu kuna mambo mengi yanayoendelea duniani sema hatunaga utaratibu wa kusoma mahandiko
 
sio kweli,kama hujui kuna raia wa israel karibu milioni 2 wenye asili ya kiarabu,
tatizo ni hawa walowezi wa kizungu waliotoka ulaya na kuja kuanzisha nchi ya israel baada ya vita kuu ya pili,kabla ya hapo wayahudi na waarabu hapo waliishi kwa amani kabisa
 
Ama kweli dini na elimu aliyotuletea mzungu/mwarabu ambayo ililenga kutuandaa kuwatumikia bado inatutafuna.

Tumeacha asili yetu ipotee kabisa, hakuna anatehangaika kuwajua Wasukuma, Wakwere, Wangoni(unaweza kutaja wote)..asili yao na jinsi mwenendo wao wa sasa unavyo/utakavyoathiri vizazi vijavyo ili angalao kizazi chetu kijacho kijiandae.(kwa shari au heri).

Ila siku zinakuja hata kama kwa kuchelewa ambapo kizazi chetu kitaujua ukweli na kitakuwa HURU kifikra.
 
Maelezo mengine ambayo si sahihi,Daudi hakujenga mji wa jerusalem,kwani jerusalem ilikuwepo kabla hata abraham hajahamia caanan,
mtawala wake alikuwa Melchizedeki ambaye pia alikua kuhani,
baada ya Melchizedeki mtawala mwingine aliitwa Adonizedeki,

daud hakupata kuwepo,hata history haimtambui Daud,

kwa mjibu wa biblia mji wa jerusalem ulitekwa na waisrael kipindi cha joshua,

lakini baadae bible ikajichanganya tena kuwa Daud ndo aliuteka mji wa jerusalem,

lakini kihistory tarehe zinapingana kwani inaonekana kipindi daud ndo mtawala mkuu wa jerusalem ndo kipindi history inatambua kuwa eneo hilo lilivamiwa na kukaliwa na Aramean
 
Mzee baba umeenda upande kinoma,
Kumbuka Israel au Yakobo ni mtoto wa Isaka na Isaka alikuwa na kaka yake Ismail ambao wote baba yao alikuwa Abrahamu. Yakobo ndiye aliyezaliwa na pacha wake ambaye ni Esau lakini WA Palestina ni watoto wa Ismail, kwa hiyo Israel na Palestina sio mapacha bali wana relation ambayo inaunganishwa na Abraham.

Maoni yangu,
WA Palestina ndio wavamizi wa nchi ya ahadi kwa Yakobo, hawana haki ya kukalia nchi hiyo, ni kweli Mungu aliahidi kumpa Abrahamu nchi yote kuanzia mto frati hadi kijito cha Misri lakini nchi ya Yakobo ilikuwa sehemu ya magharibi ya mto Yordani na kipande kidogo cha Mashariki.

Wapalestina wana point gani kukalia nchi ya watu?

Naomba kukosolewa....
Yaani Mungu kajificha anatuma mtu aje adai kuwa kapewa yeye nchi hii wengine watafute nchi yao !!!! atakaeamini ujinga huo ni mkichaa , kanuni kuu mwenye nguvu atatawala dhaifu atatawaliwa
 
Leading archaeologist says
Old testament storeis are
fiction
|
|
Click to follow
The Independent
ABRAHAM, Jacob, Moses, King David, and King
Solomon in all his splendour, never existed, a
15-year study of archaeological evidence
has concluded.
The study - by Professor Thomas Thompson,
one of the world's foremost authorities on
biblical archaeology - says that the first 10
books of the Old Testament are almost
certainly fiction, written between 500 and
1,500 years after the events they purport to
describe.
Professor Thompson's claims, outlined in a
new book, The Early History of the Israelite
People, are being taken seriously by
scholars.
The British Museum's leading expert on the
archaeology of the Holy Land, Jonathan
Tubb, said last week: 'Professor Thompson
may well be right in many of his arguments.
His book is a work of tremendous
scholarship. He has been meticulous in his
research, and brave in expressing what
many of us have thought intuitively for a
long time but have been reticent in saying.'
Professor Thompson - from Marquette
University in Milwaukee - says that there is a
complete absence of archaeological and
historical evidence for many events
portrayed in the Bible. The inevitable
conclusion, he argues, is that the Israelite
exile in Egypt, the Exodus and the Israelite
conquest of the Promised Land never took
place.
Excavations have found no trace of a settled
population around Judea and Jerusalem
during the 10th century BC, when the
Kingdom of David and Solomon was
supposed to have flourished. A community
that could have supported a kingdom did
not form in Judea until at least a century
later, Professor Thompson said. Jerusalem
did not become a large and politically
influential city until about 650 BC.
He added: 'It is out of the question that Saul,
David, and Solomon, as described as kings in
the Bible, could have existed. I think the
biblical accounts are wonderful stories,
invented at the time when Jerusalem was
part of the Persian Empire in the 5th Century
BC.'
The Israelite nation, he believes, was a
creation of the Persian Empire and was
formed around 450 BC. But the people who
were moved to Jerusalem at that time were
not the descendants of those who had been
deported from the city after the Bablyonian
capture in 586 BC. They were descendants
of Syrian, Philistine, Phoenician, Judean, and
other peoples who had also been forcibly
deported to Babylon.
The first temple to Yahweh in Jerusalem was
built at the instigation of the Persians, also
in 450 BC - 500 years after the date
suggested by the Bible. Before then, the
main centre for the worship of Yahweh was
in Samaria but, according to Professor
Thompson, the religion had been in decline
for several centuries. The Persian motive
was to build up Jerusalem, with its newly-
planted population, as a city of regional
importance and to reduce Samaria's
standing. It was the Persian empire's
practice to build temples to important
regional deities

Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababishaugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru.

Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.

Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo."

Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina.

Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia.

Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa.

Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30.

Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo.
Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu.

Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution.
That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept.

It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho.
Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu.

Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote.

Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote.
Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia.

Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu.

Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa.

Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake.

Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli.

Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka.

Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria .
Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama.

Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo.

Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja.

Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea.

Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195).
Kama hujui maandiko nashauri usichangie huu uzi, kwani tutaanza kupoteana kama israeli na palestina.
 
kuna kaformula mzee aliniambiaga ukiona mahali hufanikiwi mambo yako we sepa nenda kwingine huenda sipo ulipopangiwa.

Yesu Kristo alisema WENYE NGUVU WATAURITHI UFALME WA MBINGUNI, na kuna msemo tena MBINGUNI HAKITAINGIA KINYONGE, hii dunia wanaofanikiwa sana nyuma yao ilibidi ubabe wautumie na nguvu , mataifa yanayoitwa yananguvu ukiangalia Yana Majeshi imara na makubwa, Angalia Iran wanavyopigwa vita na vikwazo yote ni sababu ya Kuwa na mpango wa ujenzi wa silaha zitazo lifanya kuwa taifa lenye nguvu,Hawa waisrael hata awe na amechanganya damu na wa maifa mengine akazaliwa nchi nyingine Wote utakuta lazima waitambulishe israel , 😀😀😀Eti na wachaga wao hutoa sadaka katika mlima mkubwa zaidi Kila mwezi wa 12 lazima warudi kutoa sadaka za wanyama na damu.
Yaani Mungu kajificha anatuma mtu aje adai kuwa kapewa yeye nchi hii wengine watafute nchi yao !!!! atakaeamini ujinga huo ni mkichaa , kanuni kuu mwenye nguvu atatawala dhaifu atatawaliwa
 
sio kweli,kama hujui kuna raia wa israel karibu milioni 2 wenye asili ya kiarabu,
tatizo ni hawa walowezi wa kizungu waliotoka ulaya na kuja kuanzisha nchi ya israel baada ya vita kuu ya pili,kabla ya hapo wayahudi na waarabu hapo waliishi kwa amani kabisa
Kwa kiasi kikubwa Roman Empire ndo iliyofanya huu uhasama uwepo
 
Back
Top Bottom